Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

Rais wa nchi ya watu wa Zanzibar yupo kikazi ktk nchi ya Tanganyika, mkoa wa Arusha
 
Ana passport ya kuja Tanganyika?
spo ya kuja Tanganyika?
 
Mkuu ukichukul8a kwa idadi ya watu, "Rais" Karia ana deal na watu wa soka wengi kuliko "Rais" Mwinyi.
Ulimwengu wa soka kwa Tanzania una wafuatiliaji na wahusika zaidi ya 5m wakati ule mkoa wa Zenji ni kama 2m pekee
 
Hana mamlaka ya kidola,ni sawa ana socialize tuu 😁😁
 
Hana mamlaka ya kidola,ni sawa ana socialize tuu 😁😁
Hata huyo wa Zenji hana mamlaka ya kidola.
Au zile KMKM, Chuo cha mafunzo na valontia (sorry for spelling) nayo ni mamlaka ya kidola?
 
Soon Arusha kutajaa wavaa Kobaaz na Wala urojo watakuja kuwekeza
 
Ni protokali mkuu. Rais akishaingia ni ngumu kuruhusiwa kuingia Tena.
Sidhani kama uko sahihi kwenye hili mkuu, CRDB iko hapo ilipo kutokana na mitaji ya wanahisa wala sio hisani ya Serikali. Mwinyi na mwenzake Makonda pamoja na kundi kubwa la waalikwa wamekwenda kujaza ukumbi na kuwaacha wenye mali nje eti kisa protokali?
Nafarijika kumsikia Nsekela mwenyewe akiomba radhi kwa tukio lile la udharirishaji....CRDB ni mali ya wanahisa na haiwezi kuendeshwa kisiasa hivyo.
 
hizo zote umetaja raia wa pande zote wana muingiliano sawa sio kama huku mbara hatambulik kule Zenji
 
hizo zote umetaja raia wa pande zote wana muingiliano sawa sio kama huku mbara hatambulik kule Zenji

Hatambuliki na ndiye Raisi au huelewi kuwa kijana wa Mkuranga ndiye Raisi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…