Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ukiwa raisi wa nchi kusafiri ni lazima! Ukiona raisi Hsafiri jua hapo kuna matatizo! Rais Puttin pamoja na vita nchini mwake lakini anasafir itakuwa wa au Rwanda?Angepiga simu tu aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa raisi wa nchi kusafiri ni lazima! Ukiona raisi Hsafiri jua hapo kuna matatizo! Rais Puttin pamoja na vita nchini mwake lakini anasafir itakuwa wa au Rwanda?Angepiga simu tu aisee.
Hakuna jambo kubwa kushinda DRC kwa sasa hivi kwa huyu Kagame.Kama unafuatilia kupitia Rwanda TV ishu kubwa ni ishi ya mashirikiano kati ya air Tanzania na shirika la Rwanda air, reli , bandari na walimu wa kufundisha kiswahili.
Nimemuona Gabriel Zakaria kumbe amerudi TBC1 baada ya kupigwa chini u- DC anakijua kinywaranda kiasi kama mimi vile .
USSR
Kwa lipi?Ni jambo jema
Ujirani mwema!Juzi Samia kapokea ujumbe maalum toka kwa Tshekedi, hapa Kagame anajiweka mbele asisahaulike.
Samia awe makini na 'manipulations' za huyu mtu.
Mengine yote ni gheresha tu.
Kwa lipi?
Unapokuwa na kipa anayeruhusu magoli mengi kila mtu lazima ajaribu hata mbali.Mtoto kaja nyumbani kumuona Mama live na kuweka mambo sawa.
"Ujirani mwema" wa ukilala unagongwa? Ni lazima uwe macho wakati wote unaposhughulika na majirani wa namna hii.Ujirani mwema!
Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023.
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Lawrence Tax kwenye uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu JK. Nyerere.
Msafara huo umeelekea Ikulu ambapo Rais huyo anatarajia kufanya mazungumzo na Mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan.
UPDATES;
RAIS SAMIA KUZUNGUMZA NA RAIS KAGAME IKULU YA DAR ES SALAAM
View attachment 2601478
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Aprili, 2023.
View attachment 2601482
View attachment 2601481
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Rwanda, Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Aprili, 2023.
View attachment 2601483
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Rwanda, Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023.
Sina Imani nae kabisa atamburuza Maza etu.Namkubali huyu kachero.
Kwanini ?Kumbe wewe ni mfanyakazi wa TBC?
Anatujua tz ni shamba la bibi?Pk ni ni mtoto wetu, yuko nyumbani hatuna shida naye anatujua
Mimi naona wanaume wanne na wanawake watatu.Kuna wanaume wawili hapo picha yao hii inaongea mengi! Lots of memories [emoji4]View attachment 2601784