Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Nchini na kufanya Mazungumzo na Rais Samia, leo Aprili 27, 2023


Juzi Samia kapokea ujumbe maalum toka kwa Tshisekedi, hapa Kagame anajiweka mbele asisahaulike.

Samia awe makini na 'manipulations' za huyu mtu.

Mengine yote ni gheresha tu.
Ni jambo jema
Kwa lipi?
 
Juzi Samia kapokea ujumbe maalum toka kwa Tshekedi, hapa Kagame anajiweka mbele asisahaulike.
Samia awe makini na 'manipulations' za huyu mtu.

Mengine yote ni gheresha tu.

Kwa lipi?
Ujirani mwema!
 
Namkubali huyu kachero.
 
Dah mwamba kazeeka aisee sema bado anakaza..jamaa kwel chuma ila sis bongo kutu..chuma ni chakula yetu
 
Mama Samia awe makini kwenye ushirikiano wa ULINZI NA USALAMA na Rwanda. Kagame ni jasusi ambaye anatumia muda mwingi na gharama kubwa kuchunguza mifumo na uimara wa USALAMA NA ULINZI wa majirani zake wote. ANATAKA KUIPANUA RWANDA.
 
Karibu.

Mmojawapo wa maRaisi bora wa Afrika pamoja na Afrika ya mashariki ya Kati.
 
HUWA nafurahi sana ninapowaona vijana wa nyerere wakija kuhiji walipopatia madaraka!!

RIP mtikila KWA kutupa yalivyojiri!!

Ishu ya mgogoro wa kongo na Rwanda ni ndogo SANA!!
Ni kuiacha kongo ibaki kama kongo lakini waiache huru watutsi wa kinyarwanda wakae KWA amani kwenye mikoa tajwa KWA mkataba maalumu kama watutsi wengi wanaoishi Tabora, kigoma,kagera,ngara huko na n.k!!

Yaani waishi kama kwao tu vile na wawe raia wa kongo tu vile!!


YAANI KONGO IBAKI KONGO LAKINI WATUTSI WARUHUSIWE KUISHI KONGO KAMA NDUGU VILE KAMA HUKU KWETU BONGO,MBONA WANAISHI TU HUMU HUMU TZ NA HAKUNA NOMA MBONA!!!?WALA MIKOA WANAYOISHI HAIWI KONGO WALA RWANDA!!!na fresh tu mbona!!
 
Rwanda na Tanzania ni marafiki wa zamani ila kuna kipindi kama urafiki wetu uliyumba, Rwanda kama vile iliisusa Tanzania sasa ni wakati wa kuimarisha uhusianao wetu na kufufua kikamilifu mahusiano ya kibiashara.

Viva P. Kagame
Viva Samia Suluhu.

Long live relationship between Tanzania and Rwanda.
 
Kuna wanaume wawili hapo picha yao hii inaongea mengi! Lots of memories [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…