Ni majuzi nilisikia huyu jamaa wa Kigali Rwanda amekuja Tanzania Kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Bahati mbayasikuwa karibu na Media hivyo sikusikia makusudi ya ziara yake nchini.
Wadau, naomba mnijuze, huyu jamaa Nini kimemsukuma kuja nchini? Anataka nini? Waliongea juu ya nini na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan? Nauliza hivo Kwa sababu huyo jamaa wa Rwanda sifa na caliber yake si nzuri sana.