Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
308
Reaction score
144
Kwa ufupi ni kwamba aliyekuwa rais wa serikali ya wanafunz bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na Polisi Kituo cha Selander Bridge baada ya kudokoa kiasi cha shilingi 31 Milioni kwa kufoji saini ya Dean of students.

Wizi huo uligunduliwa na makamu wake wa Rais ndugu Godfrey Modest (Pichani na Mheshimiwa Rashid) ambaye sasa anachukua nafasi ya Urais wa COBESO.

Baada ya polisi kufanya upekuzi nyumbani kwa mtuhumiwa, kiasi cha milioni 16 na ushee zilikutwa ndani kwake.

Ni hayo tu kwa leo

attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 1423727369150.jpg
    1423727369150.jpg
    71.7 KB · Views: 4,637
  • 1423727399321.jpg
    1423727399321.jpg
    66 KB · Views: 3,818
  • 1423727426909.jpg
    1423727426909.jpg
    75.1 KB · Views: 1,757
  • 1423727544771.jpg
    1423727544771.jpg
    175.6 KB · Views: 1,764
Vice president wake (pichani) na mheshimiwa Hamad Rashid ndio atarithi mikoba ya Urais
 
Habari wanabodi,

Raisi wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha CBE tawi la DSM,afanya umafia wa kutisha, afoji sahihi ya signatories wa chuo na kukwapua mamilioni ya fedha.

Makachero wa chuo walikuwa wanafatilia nyendo zake ndipo walipomkamata Bank ya CRDB tawi la mjini akiwa na begi lilijoaa hela za chuo,makachero wakaenda kupiga search room yake wakakuta tena fedha za kutosha zaidi ya milioni 9 chumbani.

Kwa sasa yupo ubaoni akingojea kupelekwa kwa pilato mda wowote.
 

Attachments

  • CBE H.jpg
    CBE H.jpg
    43.4 KB · Views: 3,930
  • CBE M.jpg
    CBE M.jpg
    42.9 KB · Views: 4,180
Sawa, Je ndio walivyofundishwa na waking wao...? Hivi ni chama gani huyo...?
 
Mbona ni kazi rahisi tu Pole sana dada kwa mkasa huo Kikubwa hapo ni kurudisha hiyo fedha yao then basi mchezo unakuwa umeisha . Mtindo wa siku hizi huo ukikamatwa umekwapua mapesa unachofanya ni kuwarudushia tu pesa zao. Hakuna cha kwenda mahakamani wala nini wewe wape tu hela zao mmalizane
 
Back
Top Bottom