Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

Apana, sio kurudusha hizo pesa, kwa kifupi hapo hakuna issue yoyote. Yeye anachotakiwa kukifanya ni kujiuzulu wadhifa wake tuu basi. Tena inabidi mkuu wa chuo amwombe kwa heshima kabisa ili apishe nafasi hyo na achaguliwe rais mwingine basi.!
 
Daaa ametishaaaa !!! Ila kuvishwa pingu kazingua angewauliza kwanza magwiji wa haya mambo ambao hawakamatwagi !!!
 
Ni Binti? Maskini waeeee Valentine hiii jamani!!!!!!

MIBWE.GE MIKUBWA NYIE ya kiume, AU KAULI YA WAKIWEZESHWA WANAWEZA NDO MLIITUMIA KUMPA KURA,

ONGERA DADA KWA KUILIZA HII MIBWE.GE KIBAO ILOKUPA KURA,

AKSANTE DADA SANA JAMBAZi
 
Mpwa ume-quote ila hata sijaelewa kitu mbona? Au mzuka?
MIBWE.GE MIKUBWA NYIE ya kiume, AU KAULI YA WAKIWEZESHWA WANAWEZA NDO MLIITUMIA KUMPA KURA,

ONGERA DADA KWA KUILIZA HII MIBWE.GE KIBAO ILOKUPA KURA,

AKSANTE DADA SANA JAMBAZi
 
Amefuzu kuwa Mbunge wa kohogwe kwa ticket ya CCM Na mpaka kawa Rais wa wasomi ni mzuri huyo kwa mbwembwe za majukwaani!
 
Mpwa ume-quote ila hata sijaelewa kitu mbona? Au mzuka?

SORRY NIMEKUQUOTE WRONGLY, NAWALAUMU HAWA WANAFUNZI WA CBE KUMUAMINI UYU DADA, ZAIDI NI KWA UREMBO WAKE ILA HAWAKUJUA KUWA NI DADA JAMABAZI, OP Elli, UMENIPATA.
 
Apana, sio kurudusha hizo pesa, kwa kifupi hapo hakuna issue yoyote. Yeye anachotakiwa kukifanya ni kujiuzulu wadhifa wake tuu basi. Tena inabidi mkuu wa chuo amwombe kwa heshima kabisa ili apishe nafasi hyo na achaguliwe rais mwingine basi.!

umenikosha kweli
 
Pesa ndogo hivyo wanamweka pingu wakati akina Andrew Change wanapiga madili na wanaiba mabilioni ya pesa hakuna wa kuwashtaki kama hizi escrow wamejiuzuru nafasi zao za uongozi mchezo imeishia hapo .huyu anaweza kuwa ni kada wa ccm ndo wana tabia za wizi .
 
Back
Top Bottom