Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

NA HAWA NI KINA NANI TENA WAMEPIGWA PINGU mm sikupendezewa na huyu dogo kumchoma Boss wake kesi inaweza isiwepo kwani POLISI wakishamega mgawo wao wanaifutilia mbali na mnarudi wote darasani.

Sasa kumchoma mwenzako ni hatari na sio sifa kwa mtu wa kozi ya miaka miwili tu sote tunapita na uliyemchoma anaweza fukuzwa CBE lakin maisha akawin bora mwite pembeni na hela asiziibe au km katoa azirudishe kuliko kuumbuana kwa mtoto wa kike naona hawezi labda kafundishwa mengi mtayasikia
 
Sio wa kike. Huyo dada atakuwa something yake. Mwenyewe kapigwa pingu. Huyu aliyesimama. halafu mdogo sana. Yaani kajiharibia sana sana. halafu wizi sio ujanja. Wizi ni wizi tu! Hongera ya nini?
Na Kajitahid Ni Wa Kike Halaf Mjanja Namna Hii? Hongera Dada
 
At least you have made it to the semi final mr presidaa
 
Sio wa kike. Huyo dada atakuwa something yake. Mwenyewe kapigwa pingu. Huyu aliyesimama. halafu mdogo sana. Yaani kajiharibia sana sana. halafu wizi sio ujanja. Wizi ni wizi tu! Hongera ya nini?

Hii yote kwa kuwa hakuna sheria ya kutudhibiti kama wananchi vinginevyo watu wangeogopa kukwapua kwa kuwa kila anachokifanya cha maendeleo wanaki-link na kipato chake pia na TRA amechangia nini,

lakini kwetu hapa kuna watu wanaitwa mapedeshee na wana mshiko kweli lakini kile wanachokifanya hakiendani na kile walichochangia TRA. Lakini watu wanakwapua ela hata hawanani nazo yaani mtu unaweza ukawa wa laki laki ajabu baada ya mwaka ukawa na mali ya milioni 200 hakuna anaekuuliza
 
Escrow wanaanzia shule..rais wa wanafunzi CBE akutwa na milion 32 chumbani kwake mali halali ya serikali ya wanafunzi cobesso.
 

Attachments

  • 1423834254337.jpg
    1423834254337.jpg
    65.3 KB · Views: 350
  • 1423834277105.jpg
    1423834277105.jpg
    68.1 KB · Views: 322
  • 1423834297521.jpg
    1423834297521.jpg
    56.7 KB · Views: 321
Nyie watoto ,hebu mtuletee majirani zenu hapa ! Kumbe tunawaona DIT mnakula ugali wa mhogo na change wa kichina kumbe ni wezi eeh! Hebu tuambie ameiba aua kaokota ?
 
Anafanya mazoezi kabla ya kuingia rasmi ulingoni. CCM ndiyo imefundisha watu kuchukua chao mapema.
 
Back
Top Bottom