Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Mbona viongozi wao hawapigwi pingu?
Akina Muhongo,Werema,Andrew Change,Tibajuika n.k hao ni malaika ndani ya ccm wakifungwa pingu nchi itatisika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona viongozi wao hawapigwi pingu?
jamani mbona sielewi mara mwanamke mara mr .... na waliofungwa pingu ni wanaume vipi.Na Kajitahid Ni Wa Kike Halaf Mjanja Namna Hii? Hongera Dada
Ni Binti? Maskini waeeee Valentine hiii jamani!!!!!!
Na Kajitahid Ni Wa Kike Halaf Mjanja Namna Hii? Hongera Dada
Hao ndo wasomi wetu.
Sio wa kike. Huyo dada atakuwa something yake. Mwenyewe kapigwa pingu. Huyu aliyesimama. halafu mdogo sana. Yaani kajiharibia sana sana. halafu wizi sio ujanja. Wizi ni wizi tu! Hongera ya nini?
huyo dogo atakuwa na kadi ya ccm bila shaka