Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

sioni tatizo, mbona mu alikutwa na mtambo wa kutengeneza hela pale moro na ni mtambo wa mtoto wa mkulu na hakuna hatua zilizochukuliwa
 
Ni Binti? Maskini waeeee Valentine hiii jamani!!!!!!
"bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na Polisi "..........atakuwa mwanaume na si binti. Cheki hao waliofungwa pingu....labda mmoja wao kati ya hao.
 
Rais kichwa maji kweli. Alikuwa ana gegeda madem kama fisi maji hadi kawalipia ada kutokana na pesa za escrow. Alikuwa ameanza kutengeneza kamati za kumsaidia kwenye kampen za urais. Kiburi,majigambo,umbeya na dharau ndo zimemponza mpaka sasa yupo mahabusu ya polisi
 
Ramadhani kirungi Ni dogo aliekua na msimamo Sana alidharau serikali yetu iliyomtangulia na kutumia udhaifu wetu katika kampeni zake na kushinda urais lkn aliyokuja kuyafanya bado siamini kabisa...kuhusu msimamo wa kichama dogo Ni chadema wakutupwa
 
Ni kweli kabisa mkuu!!!!
Hii yote kwa kuwa hakuna sheria ya kutudhibiti kama wananchi vinginevyo watu wangeogopa kukwapua kwa kuwa kila anachokifanya cha maendeleo wanaki-link na kipato chake pia na TRA amechangia nini,

lakini kwetu hapa kuna watu wanaitwa mapedeshee na wana mshiko kweli lakini kile wanachokifanya hakiendani na kile walichochangia TRA. Lakini watu wanakwapua ela hata hawanani nazo yaani mtu unaweza ukawa wa laki laki ajabu baada ya mwaka ukawa na mali ya milioni 200 hakuna anaekuuliza
 
Huyo dogo hajielewi....una iba fedha wakati chuo hujamaliza?
Mwizi siku zote huwa hana akili, hajui kwamba bank huwa kuna camera watu wanaanza kukufuatilia kule kabla ya kukukamata, wanzake wana balance vitabu vya mahesabu baada hela kuchukuliwa kwa taratibi za kihalali kutoka bank wanakuja kugunduliwa na auditors, yeye amezivita kule kule alafu wamegundua salio limepungua cha kwanza ni kuangalia njia ilizotoka na camera
 
Watu kuwen makini ckuhiz chadema ndo mpango mzima mtu akitaka nafasi yeyote hata makazini lazima ajee kwa mgongo wa chadema kimtazoma my take is epukeni matapeli
 
NA HAWA NI KINA NANI TENA WAMEPIGWA PINGU mm sikupendezewa na huyu dogo kumchoma Boss wake kesi inaweza isiwepo kwani POLISI wakishamega mgawo wao wanaifutilia mbali na mnarudi wote darasani.

Sasa kumchoma mwenzako ni hatari na sio sifa kwa mtu wa kozi ya miaka miwili tu sote tunapita na uliyemchoma anaweza fukuzwa CBE lakin maisha akawin bora mwite pembeni na hela asiziibe au km katoa azirudishe kuliko kuumbuana kwa mtoto wa kike naona hawezi labda kafundishwa mengi mtayasikia

We kweli ukwaju, Kwanza sio mtoto wa kike, pili huna chembe ya maadili, tatu hujielewi, nne unatetea ujambazi... Hakika nawe u Jambazi
 
We kweli ukwaju, Kwanza sio mtoto wa kike, pili huna chembe ya maadili, tatu hujielewi, nne unatetea ujambazi... Hakika nawe u Jambazi
ww ndio mpuuzi kabisa unayekosa kisoma na kufuatilia maisha ya watu, hivi kumchoma mwenzako ni ili afeli? au afungwe na je ndio mwisho wa maisha yake.
mm SIKUSOMA KACHUO HAKO na siwezi kusoma Chuo cha kifala km CBE mnajidhalilisha mpaka na vyeti vya masomo ya usiku kwa kuja kuajiriwa na nani Saccos au sokoni kwenye migahawa
kwa kifupi hebu kuwa na uingie Uraiani uone Machungu ya maisha sio kukaa bwenini na kusubiri ada ya Mama akulipie kwani umekuwa Punga?

muwe na staha hata mtakapoingia uraiani si vizuri kuchomana kwa ajili tu ya siasa za BAVICHA na UVCCM
kwa sababu maisha ya kuchaguliwa kwa vidole yana mwisho na Vyuoni ni miaka miwili tu
Halafu hujuai hata Kesi zinaendeshwaje, unaanza kunilaumu km ww nia Jaji unamuhukumu mwenzako jambazi na hela mnazo?
Kwanza sio mtoto wa kike, pili huna chembe ya maadili, tatu hujielewi, nne unatetea ujambazi... Hakika nawe u Jambazi
escrow%2Bnyingine%2Bat%2Bcbe%2B%281%29.jpg

escrow%2Bnyingine%2Bat%2Bcbe%2B%282%29.jpg

Picha zilizopatikana mtandaoni zinamtaja mtuhumiwa aliyeko mikononi mwa askari polisi kuwa ni Rais wa wanafunzi CBE ambaye alikutwa na shilingi milioni 16/= chumbani kwake, fedha ambazo zinadaiwa kuwa ni za Serikali ya Wanafunzi (COBESSO) ikidaiwa alizipata kwa udanganyifu wa kutumia saini ya Dean of Students.
 
Back
Top Bottom