mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Mbona jina ni Ramadhan Kirungi, ni jina la kike hili?Na Kajitahid Ni Wa Kike Halaf Mjanja Namna Hii? Hongera Dada
Huyu jamaa ni UKAWA
"bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na Polisi "..........atakuwa mwanaume na si binti. Cheki hao waliofungwa pingu....labda mmoja wao kati ya hao.Ni Binti? Maskini waeeee Valentine hiii jamani!!!!!!
Hii yote kwa kuwa hakuna sheria ya kutudhibiti kama wananchi vinginevyo watu wangeogopa kukwapua kwa kuwa kila anachokifanya cha maendeleo wanaki-link na kipato chake pia na TRA amechangia nini,
lakini kwetu hapa kuna watu wanaitwa mapedeshee na wana mshiko kweli lakini kile wanachokifanya hakiendani na kile walichochangia TRA. Lakini watu wanakwapua ela hata hawanani nazo yaani mtu unaweza ukawa wa laki laki ajabu baada ya mwaka ukawa na mali ya milioni 200 hakuna anaekuuliza
Mwizi siku zote huwa hana akili, hajui kwamba bank huwa kuna camera watu wanaanza kukufuatilia kule kabla ya kukukamata, wanzake wana balance vitabu vya mahesabu baada hela kuchukuliwa kwa taratibi za kihalali kutoka bank wanakuja kugunduliwa na auditors, yeye amezivita kule kule alafu wamegundua salio limepungua cha kwanza ni kuangalia njia ilizotoka na cameraHuyo dogo hajielewi....una iba fedha wakati chuo hujamaliza?
NA HAWA NI KINA NANI TENA WAMEPIGWA PINGU mm sikupendezewa na huyu dogo kumchoma Boss wake kesi inaweza isiwepo kwani POLISI wakishamega mgawo wao wanaifutilia mbali na mnarudi wote darasani.
Sasa kumchoma mwenzako ni hatari na sio sifa kwa mtu wa kozi ya miaka miwili tu sote tunapita na uliyemchoma anaweza fukuzwa CBE lakin maisha akawin bora mwite pembeni na hela asiziibe au km katoa azirudishe kuliko kuumbuana kwa mtoto wa kike naona hawezi labda kafundishwa mengi mtayasikia
ww ndio mpuuzi kabisa unayekosa kisoma na kufuatilia maisha ya watu, hivi kumchoma mwenzako ni ili afeli? au afungwe na je ndio mwisho wa maisha yake.We kweli ukwaju, Kwanza sio mtoto wa kike, pili huna chembe ya maadili, tatu hujielewi, nne unatetea ujambazi... Hakika nawe u Jambazi
Kwanza sio mtoto wa kike, pili huna chembe ya maadili, tatu hujielewi, nne unatetea ujambazi... Hakika nawe u Jambazi