PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Itafikia wakati vyuo vikuu vitaanzisha VETA ili kuua VETA halisi kama wanavyofanya kwa vyuo vya ualimu wa diploma
 
What heck is this
 
Rais wa chuo anakua mjinga kiasi hiki, hivi ni Uchawa au kuna jingine? Kuna shida mahali sio buree.

Kobazi ktk ubora wake, hapo kichwani kajaza Juzuu tyuuh. Mxxxxiiiieeew
Umeongea vema ila ulipoingiza imani za watu umeharibu.

Mambo ya Juzuu hayana uhusiano na uchawa mkuu maana machawa wapo wa imani zote.
 
Hivi VETA inaweza kuchukua wanafunzi wangapi kwa mwaka kwa takwimu zao?
Wanachuo wangapi wanamaliza kwa mwaka vyuo vikuu na vya kati?

Nakumbuka kuna vijana walikosa nafasi VETA kwa kuwa nafasi zilikua zimejaa kipindi cha nyuma kidogo, sinahakika kama VETA imekua na ukubwa huo wakuchukua wanafunzi wengi kwa sasa kwa kuwa hata vijana wengine walengwa hawapati nafasi kwa ufinyu wa nafasi zilizopo.

Tuendelee kuiboresha VETA iwe bora zaidi.
 
Waliomaliza Civil engineering, electrical engineering , medicine, pharmacy Veta vipi?
 
Udom hakijawahi kuwa chuo kikuu
 
Nadhani kuna majibu unayataka dogo, tulia kwanza waende waliomaliza nyuma yako
 
Waliyo mchagua na kumpa huo Urais ndiyo wajinga na wala siyo yeye. Waislamu wengi akili zao huwa ziko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…