PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Albert Einstein mwenyewe hakupata kazi akiyoitaka baada ya kumaliza masomo.

Kubangaiza maisha yaende ikabidi akajibanze kwenye ‘patent office’ maisha yasonge tena kazi ya kuunganishiwa tu jamaa.

Einstein ambae leo dunia inamtambua ni mmoja wa watu wenye akili kubwa toka dunia iumbwe.

Wewe nani lazima upate kazi unayoitaka kisa tu graduate. Ukiambiwa kama ujabahatika kajiongeze utaki.
 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Nonsense kabisa Hawa wanafunzi wa sikuhizi na uongozi taka taka
 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Huyo wa chuo cha kata ni sawa akiamua kwenda VETA.
 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Aibuuu kwa wazazibwake anyway tunajua.....hawa pandikizi wa system.....
 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Not a smart kid kabisa
 
Hali ni mbaya sana kwa namna hii hili ni janga na anguko la elimu
Mfumo wetu wa utawala pamoja na wa elimu ni wakijinga sn, Siku moja nilimuuliza Prof mmoja level ya Masters bado tuna ulizana what is Maslow's, sijui what is research serious? badala unifundishe kitu ambacho nitaki-masters nikawe champion kwenye jamii asee? masomo 12 semister zote 2 ya nini? kwanini tusi-deal na research + practical ya kitu kimoja niwe champion? hata yeye hakuwa na majibu tulikunywa kahawa tukatawanyika, yaani ukitoa cheti cha u-Prof kichwani hana kipya kabisa. Masters lakini bado unakaririshwa mkuu.
 
Watu wa akili kama hizi ndio wale wanaoitwa wazalendo wa nchi,wakijitambua wanaitwa wahatalisha amani ya nchi.
 
Huu mjadala siuelewi kabisa, hyo veta unaenda kuongeza ujuzi upi? Maana kama maengineer vya veta vingi tunavisoma ama alimaanisha nn?
 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Kuna watu wanapenda kupoteza muda maishani jamani, kiingilio cha VETA mpaka darasa la saba anapokelewa, huyu anasubiri amalize chuo kikuu yaani anapoteza miaka si chini ya 9 ndio aende VETA. Si aachane na chuo kikuu aende zake veta kama anaona panalipa kuliko chuo kikuu?
 
Not a smart kid kabisa
Mzee wangu 😅unaposema Huyu bwana mdogo sio smart una maana gani! Nijitolee mfano, mimi pia nina degree Ila nina mpango wa kwenda veta since three years back, nimeanza na kimoja kimoja, before ata hii kauli ya P.M

nimefanya kazi ya driving four years, out my professional ya Chuo, now nina qualifications ya kwenda kusoma madaraja makubwa and driving cars and operating machines ni my passion

Sasa sijajua mzee wangu unasemaje kwamba dogo si smart, huenda ana Maono yake lakini pengine anajisemea kwenda kama trend tu kuchase clout, 🤔
 
Huu mjadala siuelewi kabisa, hyo veta unaenda kuongeza ujuzi upi? Maana kama maengineer vya veta vingi tunavisoma ama alimaanisha nn?
We nae ni kenge maji kabisa, unashindwa kuwa Analytical kwenye vitu vidogo kama hivi mkuu,

Hiyo degree yako ni useless🥶
 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.

Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.

Pia, Soma
Anasomea fani gani?
 
Sasa hapa huyu kijana anafanya siasa za kujikombakomba. Kwenda VETA ni general objective unaenda kusomea nini instantlly. Kama huna lengo kuu huwezi kwenda VETA kusoma kwa kuwa huna specific perspection
Halafu wanafikiri VETA utakwenda usomee mf. ufundi magari halafu ukitoka hapo unafungua li gereji lako unaanza kupiga hela. Hawajui kwamba vyuo vingi vya VETA havina walimu wabobevu katika baadhi ya fani na vingi havina karakana za maana. Labda serikali ifanye uwekezaji wa maana.

Wanaofaidi VETA ni wale ambao tayari wana kaujuzi japo kidogo huku mtaani na kule wanakwenda kuwa certified tu na kuwa professionals. Fundi bubu wa magari mtaani ndiyo hasa anafaa kwenda VETA lakini sidhani kama mtu hujui kabisa magari ndiyo uende VETA halafu ukitoka hapo eti uajirike mtaani.

Nina mtoto wa dada kahitimu ufundi magari anasema hakukuwa na practicals za maana na sana sana tu waliishia kuchora injini ya gari na mengine lakini hawakufanya mazoezi ya kutosha. Sasa hivi yupo anahangaika kujifunza udereva.

Ni mikurupuko tu as usual!
 
Back
Top Bottom