Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Nonsense kabisa Hawa wanafunzi wa sikuhizi na uongozi taka takaRais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Bora umesemaUDOM na VETA ni sawa tu,
Huyo wa chuo cha kata ni sawa akiamua kwenda VETA.Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Aibuuu kwa wazazibwake anyway tunajua.....hawa pandikizi wa system.....Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Hali ni mbaya sana kwa namna hii hili ni janga na anguko la elimuHii nchi imejaa wasomi wajinga haswa, hapo anajipendekeza ili apate uteuzi
Not a smart kid kabisaRais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Mfumo wetu wa utawala pamoja na wa elimu ni wakijinga sn, Siku moja nilimuuliza Prof mmoja level ya Masters bado tuna ulizana what is Maslow's, sijui what is research serious? badala unifundishe kitu ambacho nitaki-masters nikawe champion kwenye jamii asee? masomo 12 semister zote 2 ya nini? kwanini tusi-deal na research + practical ya kitu kimoja niwe champion? hata yeye hakuwa na majibu tulikunywa kahawa tukatawanyika, yaani ukitoa cheti cha u-Prof kichwani hana kipya kabisa. Masters lakini bado unakaririshwa mkuu.Hali ni mbaya sana kwa namna hii hili ni janga na anguko la elimu
UDOM na VETA ni sawa tu,
UDOM chuo cha KATA
Hivi ni kwa nini UDOM hakina sifa nzuri? Shida hasa ni nini? Wahitimu wa UDOM kwa namna moja au nyingine wanadharaulika kiaina hivi wakilinganishwa na wa vyuo vingine kama UDSM, Mzumbe, SUA na Ardhi. Ni kwa vile ni chuo kichanga?Tena afadhari ya VETA. 😂😂😂😂😂
Kuna watu wanapenda kupoteza muda maishani jamani, kiingilio cha VETA mpaka darasa la saba anapokelewa, huyu anasubiri amalize chuo kikuu yaani anapoteza miaka si chini ya 9 ndio aende VETA. Si aachane na chuo kikuu aende zake veta kama anaona panalipa kuliko chuo kikuu?Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Mzee wangu 😅unaposema Huyu bwana mdogo sio smart una maana gani! Nijitolee mfano, mimi pia nina degree Ila nina mpango wa kwenda veta since three years back, nimeanza na kimoja kimoja, before ata hii kauli ya P.MNot a smart kid kabisa
We nae ni kenge maji kabisa, unashindwa kuwa Analytical kwenye vitu vidogo kama hivi mkuu,Huu mjadala siuelewi kabisa, hyo veta unaenda kuongeza ujuzi upi? Maana kama maengineer vya veta vingi tunavisoma ama alimaanisha nn?
Anasomea fani gani?Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi.
Akichangia mada ya Miaka Minne ya Uongozi wa Rais Samia katika Kipindi cha Mizani cha TBC1, Mohamed amesema kuwa Rais Samia amewagusa vijana katika maeneo mengi ikiwepo ongezeko la ajira kwa vijana na uboreshaji mkubwa wa vyuo vya VETA ambavyo vinawawezesha vijana kuajiriwa na kujiajiri.
Pia, Soma
Halafu wanafikiri VETA utakwenda usomee mf. ufundi magari halafu ukitoka hapo unafungua li gereji lako unaanza kupiga hela. Hawajui kwamba vyuo vingi vya VETA havina walimu wabobevu katika baadhi ya fani na vingi havina karakana za maana. Labda serikali ifanye uwekezaji wa maana.Sasa hapa huyu kijana anafanya siasa za kujikombakomba. Kwenda VETA ni general objective unaenda kusomea nini instantlly. Kama huna lengo kuu huwezi kwenda VETA kusoma kwa kuwa huna specific perspection
Huyo si amechaguliwa na wenzake? Kwa hiyo huo utakuwa ndio msimamo wa UDOMMpuuzi mwingine kuunga mkono mambo ya kijinga! Rais wa chuo kichwa maji namna hiyo
Sio VETA kuna afadhari.UDOM na VETA ni sawa tu,