PreGE2025 Rais wa Serikali ya Wanafunzi UDOM, Mohamed Abdallah: Nikihitimu chuo kikuu naenda VETA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ametumwa huyo sio akili zake
 
Kwa hapa, muhusika ni kobazi, nimezungumzia upande wake.
Sasa kila mtu akitoa boko halafu tukamshambulia kwa imani yake huoni unawagusa wengine wenye imani hiyo bila sababu za msingi?

Hata mimi sijakubaliana na uchawa wa huyu chawa wa UDOM lakini siwezi kumkosoa kwa imani yake bali matendo yake mwenyewe.
 
lazma aende maana udom ni chuo cha kata na veta ni level ya wilaya, ccm ina mayai viza tupu washukuru tu dola inawapigania wangekwisha aga mashindano kitambo
 
Kila siku kabla ya kulala nyosha mikono juu sema "nchi ya kipumbavu sana hii" mara tatu.
 
ikiwa raisi wa chuo ndio yupo hivi ni bora huko veta tu
 
Bongo shida sana aisee ,hapo utakuta jinga limoja limekomaa "kasomeni veta "
 
Ambacho hamjui ni kwamba students organisations ni sehemu ya CCM
 
Kwa jinsi anavyoongea sidhani kama ataweza kusoma kozi za kiume huko veta kama uchomeleaji, umeme, ujenzi nk labda huko akasomee hotelia, saloon na uhazili

Ila mtu akishavaa SSH ujue akili yake anaiweka pembeni na anabaki kujitoa ufahamu ili aonekane na wenye mamlaka
 
ndo akili yake ilivyooo
 
Nimesoma hapo, UDOM wanajifanya hawataki siasa ila viongozi kuanzia serikali ya wanafunzi ni CCM

Usipokuwa CCM hupati uongozi
 
Sasa kila mtu akitoa boko halafu tukamshambulia kwa imani yake huoni unawagusa wengine wenye imani hiyo bila sababu za msingi?

Hata mimi sijakubaliana na uchawa wa huyu chawa wa UDOM lakini siwezi kumkosoa kwa imani yake bali matendo yake mwenyewe.
Basi sawaa.
 
Hivi ni kwa nini UDOM hakina sifa nzuri? Shida hasa ni nini? Wahitimu wa UDOM kwa namna moja au nyingine wanadharaulika kiaina hivi wakilinganishwa na wa vyuo vingine kama UDSM, Mzumbe, SUA na Ardhi. Ni kwa vile ni chuo kichanga?
Sasa Rais wa DARUSSO aongee uduanzi km huo ataanzia wapi? Mbna atafurushwa haraka sana.

UDOM ni Secondary iliyochangamka.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kimbia haraka haraka nenda VETA cc. LIKUD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…