Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta), Tumaini Nyamhokya, waliokumbwa na vyeti feki wanalipwa kwa formular ipi?

Sasa huyo alikuwa ni doktari fake tofauti na hao wa muhimbili hao walichanganya wagonjwa sio kukosea upasuaji,na hii labda ni kwasababu kipindi cha utawala huo ufanisi ulipungua sana maofisi na taasisi za serikali na hiyo ilichangiwa na watumishi wengi kukosa mafunzo ya taaluma husika waliingia kwa vyeti fake

Je muhimbili hawakulipa fidia kwa wao waliokosewa sehemu ya kufanyiwa upasuaji?

Kwahiyo ilikuwa ni halali yule mtoto kutopewa haki yake? Na huyo dokta fake ni haki yake kupewa mafao?
 
Mkuu hawa wenye vyeti feki ni udhaifu wa uendeshaji wa utawala tena ulioachiwa mpaka ukaota mizizi. Hauwafukuzi tu kama kuwakomoa kisa kuna watu watakusifia eti ni kiongozi mwenye maamuzi magumu.

JPM alikuwa ni kiongozi Populist, alipenda kupendwa na anaowatawala hata kama maamuzi yake yanakwenda sambamba na vilio kwa hao hao waliompigia kura na kumuingiza ikulu.

Suala la vyeti fake lilihitaji hekima ya kiuongozi kuliko kulivamia kwa pupa tu.
 
Rais ana dhamira njema kwa walioonewa hapo nyuma na Magufuli sasa wewe inakuuma nini mwacheni yeye ndiye Rais, linalokushinda wewe kwa Rais Samia ni jambo dogo, umeelewa we Mmachame gang.
Utakuwa mgonjwa wa akili wewe. Ufukuzwe kwa kugushi cheti useme unaonewa
 
Hao walitakiwa kuishitaki hospitali
 
Kughushi ni jinai, sasa inanishangaza mtu kula manufaa ya jinai aliyotenda.

Na mnaodai hawa wapewe mafao yao sijui mna Mende vichwani?
Bora ya mende tunaweza wafanya mboga tukiwa mataifa mengine lkn wao wako na madudu finyofinyo ma funza ya chooni
 
Huo siyo utu ni matumizi mabovu ya pesa ya nchi. Unless itamkwe kwamba forgery waliyofanya ilikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…