peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
- #41
Wangerudishwa kazini tuAu Serikali iwafunge for forgery?
Kipi bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangerudishwa kazini tuAu Serikali iwafunge for forgery?
Kipi bora?
Sasa huyo alikuwa ni doktari fake tofauti na hao wa muhimbili hao walichanganya wagonjwa sio kukosea upasuaji,na hii labda ni kwasababu kipindi cha utawala huo ufanisi ulipungua sana maofisi na taasisi za serikali na hiyo ilichangiwa na watumishi wengi kukosa mafunzo ya taaluma husika waliingia kwa vyeti fakeHii ni ajali kama iliyofanywa Muhimbili miaka ya nyuma operation ya mguu kufanywa kichwani na yule wa kichwa kufanyiwa ya mguu na walikuwa ni madaktari wenye vyeti halali.
Wenye vyeti feki sio wote walioharibu kazi, kuna wakunga wengi sana wamezalisha maelfu ya watu huko mikoani wakiwa na vyeti feki, tusiwanyanyape mno watu.
Mkuu hawa wenye vyeti feki ni udhaifu wa uendeshaji wa utawala tena ulioachiwa mpaka ukaota mizizi. Hauwafukuzi tu kama kuwakomoa kisa kuna watu watakusifia eti ni kiongozi mwenye maamuzi magumu.Sasa huyo alikuwa ni doktari fake tofauti na hao wa muhimbili hao walichanganya wagonjwa sio kukosea upasuaji,na hii labda ni kwasababu kipindi cha utawala huo ufanisi ulipungua sana maofisi na taasisi za serikali na hiyo ilichangiwa na watumishi wengi kukosa mafunzo ya taaluma husika waliingia kwa vyeti fake
Je muhimbili hawakulipa fidia kwa wao waliokosewa sehemu ya kufanyiwa upasuaji?
Kwahiyo ilikuwa ni halali yule mtoto kutopewa haki yake? Na huyo dokta fake ni haki yake kupewa mafao?
Utakuwa mgonjwa wa akili wewe. Ufukuzwe kwa kugushi cheti useme unaonewaRais ana dhamira njema kwa walioonewa hapo nyuma na Magufuli sasa wewe inakuuma nini mwacheni yeye ndiye Rais, linalokushinda wewe kwa Rais Samia ni jambo dogo, umeelewa we Mmachame gang.
Hao walitakiwa kuishitaki hospitaliKuna dokta mmoja alimuharibu mtoto wa watu kwa kumfanyia tohara vibaya hadi kupelekea mtoto wa watu uume wake hausimami tena.. baadae akatumbuliwa kwakuwa hakuwa na vyeti halali,Sasa nijiuliza na yeye atapewa mafao yake dahh🤔
Yule mtoto hakupata haki yeyote licha ya mzazi kwenda mahakamani
Walizochuma kwa udanganyifuHawalipwi! Wanarudishiwa michango yao.
Ni fedha zao walizochuma kwa jasho ambazo zilikuwa zinakatwa kwenye mishahara yao.
Bora ya mende tunaweza wafanya mboga tukiwa mataifa mengine lkn wao wako na madudu finyofinyo ma funza ya chooniKughushi ni jinai, sasa inanishangaza mtu kula manufaa ya jinai aliyotenda.
Na mnaodai hawa wapewe mafao yao sijui mna Mende vichwani?
HaiwezekaniWangerudishwa kazini tu
Huo siyo utu ni matumizi mabovu ya pesa ya nchi. Unless itamkwe kwamba forgery waliyofanya ilikuwa sahihi.Nasoma comment zao nashikwa na butwaa Kama vile wanafurahiya maisha kwa wenzao yanapokuwa magumu.
Naona yanavyodondoka huko barabarani na roho zao mbaya Kama za ibilisi.
Hawa ndiyo wale wakienda kwenye sherehe wanachukua chakula hata Mara tano wengine wakose na hashibi. Akiweka kwenye malboro Cha kwenda nyumbani bado atalalamika sherehe Jana ilikuwa mbaya sana.
Watu wa namna hii ni dangerous kabisa.
Tunaounga mkono tuipongeze serikali kwa kuwa na utu. Tuache kurudi nyuma yaliyopita yamepita. Mfumo Sasa ufanye kazi.