Rais wa Somalia apata Ph.D ya ilmu ya dunia, raia wake wamuige ili pawe na amani pale

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Elimu ni kitu cha maana sana....

Somalia’s President Dr. Hassan Sheikh Mohamud has joined the club of Africa’s most educated presidents after attaining a Ph.D. in peace studies.

Other presidents in Africa are William Ruto of Kenya, Alassane Ouattara of Ivory Coast, Moeketsi Majoro of Lesotho, and King Mohammed VI of Morocco.

Dr. Mohamud was among the 18 Ph.D. graduands who were passed out last Friday by University for Peace (UPEACE). In August this year, he defended his dissertation, titled, ‘examining the Challenges of Clan Politics in State-building: A Case Study of Somalia.’

“I sincerely thank the University for Peace for this opportunity, and as the President, I promise to establish a fund to support the education of a hundred Somali Ph.D. students at UPEACE,” Dr. Hassan Sheikh Mohamud said during the graduation ceremony in Mogadishu on December 2.

The graduation ceremony was the second for students in its specialised Somalia programme. The first cohort of students graduated in 2021. A total of 170 students graduated from the university with both doctoral and master’s degrees.
 
ilmu ya dunia inasaidia hata kuona mwezi, kuepuka hizi shida

img-20230421-wa0061-jpg.2595430

screenshot_20230421-200559-jpg.2595408
 
Na hao wasomali wanavyowasaidia hapo Kenya bado mnashindwa kulipa mishahara, wakiondoka si ndo mtakuja kutusumbua huku?

Kenya asilimia 47 ya GDP inatoka Nairobi na asilimia 25 ya Nairobi inatoka Eastleigh pekee.

Kifupi Kenya mnakula na kulala sababu ya wasomali muwe mnawaheshimu.
 
Wasomali wakiepuka uzombi wa kidini wa kujilipua mabomu wanaweza kwenda mbali sana maana wenyewe hujituma, ni wachapa kazi, ni kama pia Persians wa Iran, sijui na wao waliingiaje kwenye huo mkenge wa Mwarabu, maana Persians ni watu wenye akili sana pia.
 
wasomali Wana Akili sababu ni waisilamu, mbona hutaki ku admit hilo?

Na we mwenyewe umeingia pia mkenge wa waarabu hujijui tu ila mambo mengi kama kuoga na kupiga mswaki ni utamaduni wa waisilamu tulioeneza duniani.
 
Dini ndio imewakwamisha, wangekua mbali sana, mataifa mengi tu ambayo yametanguliza hiyo dini yamekwama sana maana yenyewe imekaa kiugomvi ugomvi, Afghanistan kule Mataleban wameamua kuifuata dini hatua kwa hatua, hakuna mwanamke anaruhusiwa elimu, wanapaswa kazi yao kuzaa tu na kukaa ndani kama mazombi.
 
Usihamishe Magoli Afghanistan toka ipate uhuru hakujawahi kutokua na vita na ni mataifa ya nje ndio yaliyosababisha kuanzia Urusi hadi USA. Wape Afghan miaka kadhaa bila Vita sasa hv watatu pita kiuchumi.

Nchi nyingi za kiisilamu ni matajri kuliko wenzao ambao wapo karibu, hata kidunia nchi za kiisilamu zipo kwa wingi kwenye top nchi zenye pato kubwa la mtu mmoja mmoja.

Mogadishu kwa miaka zaidi ya 1000 ni hub ya Uisilamu, huwezi tenganisha wasomali na Uisilamu, na sababu wanaendelea ni sheria za Uisilamu za kusaidiana, siku zote Charity begin at home
 
Hamna sehemu nimehamisha magoli, niko pale pale pa uzombi wa kidini unavyokwamisha mataifa ambayo yameikubali hiyo dini iwakalie, Talibans leo hii wanatawala kwa kuzingatia uzombi wote nje nje, mwanamke haruhusiwi chochote.
Somalia hapa majirani hapakaliki, wote hujilipua lipua wakisema wanafanya kwa ajili ya Allah.
Hata hao wamiliki wa dini Saudi Arabia wameanza kulegeza huo uzombi baada ya kuona haina tija kuung'ang'ania, nilisoma sehemu wanaruhusu wanawake kuendesha magari.
 
Mkuu Africa Nchi nyingi Tajiri ni za Kiisilamu Kuanzia Misri, Morocco, Algeria etc. Nchi pekee Tajiri ambayo sio ya Kiisilamu ni South Africa, Nchi nyingi ambazo sio majority waisilamu ni masikini wa Kutupwa.

Tajiri mkubwa Africa Dangote, Tajiri mwanamke Africa Alakija, Huyu Bibie Alakija kuna wakati kama Dangote pia alikua Mwanamke mweusi tajiri zaidi Duniani akimpita Oprah.

Wote Alakija na Dangote ni Mazao ya huo unaoita Utopolo, Dangote Ana degree ya Uchumi ya Kiisilamu Al Azhar University na Alakija ni zao la Sagamu Muslim High school.

Unachofanya wewe una Cherry pick nchi moja ya kiisilamu yenye machafuko kujustify hoja yako na kuacha makumi ya nchi nyengine za kiisilamu ambazo zinafanya vizuri.

Huyo Afghanistan kazungukwa na Iran, Tajkistan, Uzbekistan, Turkmenistan etc ni watu ambao wanafanana karibia kila kitu, na wengi ya hao wameendelea vizuri. Ila nchi hizo huzitaji sababu hazifit bias zako umeilenga Afghanistan tu ambayo ina Vita karibia miaka 50 sasa.
 
Hayo mataifa huko juu yanategemea mafuta yaliyogunduliwa na mzungu, utajiri wao usingewafaidi bila elimu ya mzungu wao kazi kuvaa mikanzu na kulea mindevu na kutukana wazungu kutwa.
Kote mpaka kwa mmiliki wa hiyo dini Saudi amesaidiwa na mzungu.
 
Dubai ina mafuta kiasi gani, Indonesia, Malyasia, Uzbekistan, Turkmenistan, Egpty na Nchi kibao zote hizi zina mafuta? Acha ushamba sijui hivi Huko Kenya Darasa la 7B wanaitwaje?

Na pia Kuna Nchi kibao Africa zina mafuta kuliko za Kiarabu kama Angola ila bado masikini kama sisi tu, hao waarabu hawajaendelea sababu ya mafuta bali kuzuia wizi, rushwa na kuhakikisha keki ya taifa watu wote wanaila,

Na kama Nilivyokueleza huko juu, waarabu Na Waisilamu toka Africa wanaenda Ulaya wanakuta wanashindana Kuto kuoga, Kipindi hicho kanisa linakataza watu kuoga, ni Waisilamu walioleta ustaarabu unaouona Leo kupiga Mswaki, kuoga, kutumia manukato baada ya kuoga etc, kama Kweli mkuu unaona waisilamu ni wajinga wajinga tu wavaa kanzu Anza Leo acha kuoga, usipige mswaki, usipake manukato na mambo yote yaliyoletwa na waisilamu.
 
Elimu ni kitu cha maana sana....

Somalia’s President Dr. Hassan Sheikh Mohamud has joined the club of Africa’s most educated presidents after attaining a Ph.D. in peace studies.

Other presidents in Africa are William Ruto of Kenya, Alassane Ouattara of Ivory Coast, Moeketsi Majoro of Lesotho, and King Mohammed VI of Morocco.

Dr. Mohamud was among the 18 Ph.D. graduands who were passed out last Friday by University for Peace (UPEACE). In August this year, he defended his dissertation, titled, ‘examining the Challenges of Clan Politics in State-building: A Case Study of Somalia.’

“I sincerely thank the University for Peace for this opportunity, and as the President, I promise to establish a fund to support the education of a hundred Somali Ph.D. students at UPEACE,” Dr. Hassan Sheikh Mohamud said during the graduation ceremony in Mogadishu on December 2.

The graduation ceremony was the second for students in its specialised Somalia programme. The first cohort of students graduated in 2021. A total of 170 students graduated from the university with both doctoral and master’s degrees.
Acha mazereu dogo.... Elimu Duniya haina msaada wowote zaidi tu ya kufundisha Ukafir.
 
Dubai ina mafuta kiasi gani, Indonesia, Malyasia, Uzbekistan, Turkmenistan, Egpty na Nchi kibao zote hizi zina mafuta? Acha ushamba sijui hivi Huko Kenya Darasa la 7B wanaitwaje?

Na pia Kuna Nchi kibao Africa zina mafuta kuliko za Kiarabu kama Angola ila bado masikini kama sisi tu, hao waarabu hawajaendelea sababu ya mafuta bali kuzuia wizi, rushwa na kuhakikisha keki ya taifa watu wote wanaila,

Na kama Nilivyokueleza huko juu, waarabu Na Waisilamu toka Africa wanaenda Ulaya wanakuta wanashindana Kuto kuoga, Kipindi hicho kanisa linakataza watu kuoga, ni Waisilamu walioleta ustaarabu unaouona Leo kupiga Mswaki, kuoga, kutumia manukato baada ya kuoga etc, kama Kweli mkuu unaona waisilamu ni wajinga wajinga tu wavaa kanzu Anza Leo acha kuoga, usipige mswaki, usipake manukato na mambo yote yaliyoletwa na waisilamu.
Mimi ni mwenzio ila nakuambia kijiwe ulichokaa last time walikudanganya sana.... Uje uwe unakaa nami huu msikiti wa hapa Posta kuna watu wenye akili watakupa madini ya ukweli achana na hayo machaka wanayokungizia ...
 
Mji wa Dubai uchumi wake ulitangulizwa na mafuta yaliyokua yanachangia zaidi ya asilimia 50% ya GDP yao ambayo yaligunduliwa na mzungu akitumia elimu yake, baada ya hapo mzungu akawaelimisha namna ya ku-diversify, wote hao chochote wanakitumia ni elimu ya mzungu.
Huyo Misri alikua na akili kabla hajaingia kwenye uzombi wa hiyo dini, ni mojawapo wa civilization za kitambo na walikua vizuri sana.
 
Na undhani Amani inafundishwa Shule au kwenye Vitabu ?; Au unahitaji kuwa certified ili kuwa civilised / non barbaric ?

I can argue the red Indians; the Aborigines were more civilised / peaceful individuals before the so called book smarts invaded them.....

Mji wa Dubai uchumi wake ulitangulizwa na mafuta yaliyokua yanachangia zaidi ya asilimia 50% ya GDP yao ambayo yaligunduliwa na mzungu akitumia elimu yake,
Dubai haina mafuta acha ushamba, Dubai wametoka kwa kufuta Kodi, hii ikapelekea mataifa karibia yote kwenda kuuza vitu Dubai Na wengine kununua, kutokana na movement ya watu kuja na kuondoka ndio wakatengeneza zile real estate na mambo mengine.

Huko mwaka 1969 ambao waligundua mafuta na Kuchimba production ilikuwa ni kwa maelfu, ni mafuta kidogo sana Mfano Angola hapo ama Nigeria Wanaproduce Mamilioni ya Barell kwa siku.

Usichanganye UAE na Dubai

baada ya hapo mzungu akawaelimisha namna ya ku-diversify, wote hao chochote wanakitumia ni elimu ya mzungu.
Kwani Kuna vitu vingapi wazungu wanatumia elimu ya mwarabu? Na si kila kitu kimegunduliwa na mzungu huko Arabuni Kuna kampuni local, zipo za Ulaya, China Etc.
Huyo Misri alikua na akili kabla hajaingia kwenye uzombi wa hiyo dini, ni mojawapo wa civilization za kitambo na walikua vizuri sana.
Umeitaja Misri kama Nchi moja tu, hizo nyengine nilizokutajia je?
 
Mimi ni mwenzio ila nakuambia kijiwe ulichokaa last time walikudanganya sana.... Uje uwe unakaa nami huu msikiti wa hapa Posta kuna watu wenye akili watakupa madini ya ukweli achana na hayo machaka wanayokungizia ...
Sina mwenzangu ambaye ni Chizi, pia sikai vijiweni.

Nchi yoyote hapo naweza kubackup data zangu na Imf ama world bank, kama unahisi Kuna kamba yoyote taja nikupe source.
 
Fuata ushauri wangu.... Kaa na watu wenye akili. Njoo huku msikiti wa Ngunde utatukuta tunajadili mambo ya maana na si kulishana matango pori kisha wote tukaonekana vilaza.
 
Dubai haina mafuta acha ushamba, Dubai wametoka kwa kufuta Kodi, hii ikapelekea mataifa karibia yote kwenda kuuza vitu Dubai Na wengine kununua, kutokana na movement ya watu kuja na kuondoka ndio wakatengeneza zile real estate na mambo mengine.

Huko mwaka 1969 ambao waligundua mafuta na Kuchimba production ilikuwa ni kwa maelfu, ni mafuta kidogo sana Mfano Angola hapo ama Nigeria Wanaproduce Mamilioni ya Barell kwa siku.

Usichanganye UAE na Dubai

Kwani Kuna vitu vingapi wazungu wanatumia elimu ya mwarabu? Na si kila kitu kimegunduliwa na mzungu huko Arabuni Kuna kampuni local, zipo za Ulaya, China Etc.

Umeitaja Misri kama Nchi moja tu, hizo nyengine nilizokutajia je?

Jielimishe historia ya uchumi wa Dubai, tatizo umeshikiliwa akili na hiyo dini unashindwa kutumia ubongo kama ilivyo kawaida, mafuta yaliyogunduliwa na mzungu yaliwasaidia kuinuka kiuchumi, yalikua yanachangia zaidi ya 50% ya GDP hadi pale mzungu akawafundisha ku-diversify na kufanya mengine hayo unayoyataja.
Leo hao waarabu wote kwenye mataifa yote hayo wanategemea elimu ya mzungu kuanza kuhama kutoka kwenye utegemezi wa mafuta kama ilivyofanyika Dubai.
Wangeendelea kutegemea ilmu ya dini na kuvaa mikanzu wangeuana kitambo kwa umaskini na ujinga.
 
Wewe ndo unaeshindwa kutofautisha baina ya Dubai Na UAE, Dubai haitegemei mafuta na wala sio project ya Mzungu.

Dubai ni Dunia Kuna Mataifa zaidi ya 200 pale, wahindi tu Kuna Milionea/Billionea zaidi ya 50, kusema mtu X kaitengeneza Dubai kunaonesha ushamba wako.

Na kama unafikiria wazungu wanaweza kutengeneza Dubai halafu kwao wameshindwa kutengeneza mji kama ule itakua maajabu ya Dunia.
 
Back
Top Bottom