MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Wewe ndo unaeshindwa kutofautisha baina ya Dubai Na UAE, Dubai haitegemei mafuta na wala sio project ya Mzungu.
Dubai ni Dunia Kuna Mataifa zaidi ya 200 pale, wahindi tu Kuna Milionea/Billionea zaidi ya 50, kusema mtu X kaitengeneza Dubai kunaonesha ushamba wako.
Na kama unafikiria wazungu wanaweza kutengeneza Dubai halafu kwao wameshindwa kutengeneza mji kama ule itakua maajabu ya Dunia.
Nakuelimisha tatizo umeshikiliwa na dini hautumii ubongo vizuri, tulia acha mihemko ya kidini utanielewa, nimekuambia fuata historia ya uchumi wa Dubai, ilianza kwa kutegemea mafuta yaliyogunduliwa na elimu ya mzungu miaka ya 60s and 70s, kisha baada ya hapo ndio waka diversify kwa kutumia elimu ya mzungu.....
Mafuta ya Dubai yalianza kupungua 1991 ila kabla ya hapo huyo Mwarabu kula yake ilikua mafuta yaliyotumia elimu na ujanja wa mzungu...
Siongei kuhusu UAE yote ambayo na yenyewe imekuzwa na mafuta yaliyotumia elimu ya mzungu....
Wao wenyewe hawakua na uwezo wa kugundua na kuchimba mafuta zaidi ya kuvaa mikanzu na kuelimishana ilmu ya dini na mindevu.