Rais wa Somalia apata Ph.D ya ilmu ya dunia, raia wake wamuige ili pawe na amani pale



Unafikiri ile miundo mbinu na plan ya mji aliitoa mzungu kule Dubai ?? Kwa taarifa yako walioijenga Dubai ni Wazanzibari
 
UAE imekua founded 1971, mafuta Yalikuwepo 1960s, sisi tunabishana kuhusu Dubai Na Mchango wa mafuta kwenye Uchumi wake, huoni kama ni ujinga kuanza Kuongelea UAE Taifa changa ambalo limeundwa wakati Hizo nchi ni Tajiri tayari?

MI nakuwekea Ushahidi hadi wa Picha kwamba Dubai ni mji Mkubwa toka kabla hayagunduliwa we waniekea Source za UAE za juzi juzi.
 

hehehe hata tukeshe humu hunitoi, UAE hata kama imebuniwa 2023 ila hizo emirates zote zimekuzwa na mafuta aliyogundua mzungu.
Hiyo Dubai ambayo umekomalia, uchumi wake ulipaishwa na mafuta ya mzungu baada ya mzungu kwa elimu yake kuja kuyagundua, na ndio mzungu akawaelimisha pia namna ya ku-diversify wasikae wakiyategemea maana yanaisha, oil ni nonrenewable resource, maana kwamba wasipofanya jambo watarudi kule kule kwa maisha ya hovyo.
Ndio kitu waarabu wengine wote wamejifunza, wanajaribu kupambana kuondokana na kutegemea utajiri wa mafuta.
 
Kwa Hio baada ya kugundua mafuta wakagundua na Time travel machine wakaenda kujenga huo mji 1940? Hii hoja naipresent ila unafumba macho kama huioni.

Hii ni mada ndefu Sana kama una muda ianzishe ila Kuna maelfu kwa maelfu ya hizo unazoziita Tech za mzungu zimegunduliwa middle East kuanzia Tech za ujenzi, Ukiangalia Palace zote za Ulaya za wafalme zina tumia Mifumo ya Middle East, Kuja afya mpaka upasuaji, Computer alogarithim (khawarizim), kuja Alkemia (Chemistry) na vilivyomo.

Hata Leo hapo pengine unatumia Wifi ambayo mmoja wa wagunduzi wake ni Mwarabu prosffesor wa Egpty, unatumia kifaa cha Battery pengine cha lithium kutype Hio comment ambayo critical tech lithium-graphite anode imegunduliwa na Mwarabu mwengine hapo Morocco etc.

Nyie hapo kwenu mmekaa tu mnagundua Yesu kila siku na kuua watu wa watu kuwalaza njaa.
 

Kuwa na mji kabla mafuta ya mzungu sio hoja, ila kiuchumi walipaishwa na hayo mafuta ndio wakaja kuwa walivyo, kwa taarifa yako UAE ilikua koloni la mzungu tangu tangu, na akili na elimu ya mzungu ndio iliwawezesha.
 
Hakuna elimu yenye manufaa kwa dunia amabayo haijaanzishwa na Waislam, kumbuka hilo.
 
wasomali Wana Akili sababu ni waisilamu, mbona hutaki ku admit hilo?

Na we mwenyewe umeingia pia mkenge wa waarabu hujijui tu ila mambo mengi kama kuoga na kupiga mswaki ni utamaduni wa waisilamu tulioeneza duniani.
Wewe ndugu yetu naona umekula maharage mabovu sasa umevimbiwa, tafuta dawa kutibu uharo unaokusumbua tafadhari
 
Wewe wacha fitna za kijinga, kashughulike na tatizo lenu la ukabila kwenu huko.

Sio fitina, huyu dada ameuliza swali la msingi jinsi wanawake hamna lenu kwenye hiyo dini...
 
Hakuna lolote acha kudanganya watu hapa, hizo nchi zina majority waislam lakini sio islamic states, katika list of richest African countries ni nchi tatu ambazo zina majority ya waislam nyingine zote sio, na sababu kubwa ya nchi hizo ulizotaja kama Algeria ni kwa sababu ya mafuta na gas, i'm not against islam ila acha kudanganya na data za uwongo
 
Hakuna lolote acha kudanganya watu hapa, hizo nchi zina majority waislam lakini sio islamic states,
Statement sahihi ni kwamba sio islamic state 100% ila kukataa influence ya Uisilamu kwenye hizo nchi ni kujitoa tu ufahamu.

katika list of richest African countries ni nchi tatu ambazo zina majority ya waislam
Unajipa moyo? Nchi zote za North na North western ni Tajiri kwa level za Africa Kuanzia Egpty, Tunisia, Algeria, Morocco na hata Libya yenye Vita still ni Tajiri, Kuna Mauritius, djibout Ilikua na vita ila sasa hivi inapaa tu, ni nchi 3 hizi?
nyingine zote sio, na sababu kubwa ya nchi hizo ulizotaja kama Algeria ni kwa sababu ya mafuta na gas,
1. Angola ni nchi inayoongoza kwa Mafuta Africa kama mafuta ni tiba ya umasikini kwa nini haiwi Tajiri kuliko zote?

2. Algeria ina mafuta Na Gas ila ni kawaida tu hajawahi hata kuchangia asilimia 50 ya pato la Nchi

i'm not against islam ila acha kudanganya na data za uwongo
Weka data zako wewe za ukweli, na unasema am not against Uisilamu wakati comment chache zilizopita ulikua ukitukana inaonesha jinsi Ulivyo mnafiki.
 
Kuwa na mji kabla mafuta ya mzungu sio hoja, ila kiuchumi walipaishwa na hayo mafuta ndio wakaja kuwa walivyo, kwa taarifa yako UAE ilikua koloni la mzungu tangu tangu, na akili na elimu ya mzungu ndio iliwawezesha.
1. UAE haijaexist mpaka 1971 itakuaje koloni la Mzungu?

2.ni hoja kwamba Dubai ni Tajiri kabla ya Mafuta na ni Tajiri Leo sababu inaonesha Core ya utajiri wake ni Biashara na sio mafuta, na hili linathibitishwa na data nyingi tu.

3. Kasome historia Dubai, na nchi zote zinazounda UAE hazijawahi kuwa Colonised, walikua tu na Mikataba baina ya Ma Amiri na Serikali ya Uingereza, Mostly ni kuhusu Bahari mambo ya Pirates, slaves, Biashara etc.
 

Hehehe wacha kujitoa ufahamu, UAE sawa imezinduliwa 1971 wakati hayo masheikh yaliunganishwa lakini haiondoi ukweli kwamba mzungu ndiye alikua anawakoloni, kasome Colonial precursor of the United Arab Emirates Trucial Coast | Encyclopedia.com
British government forced the rulers to deal only with prospecting oil companies of which it approved

Mafuta ndio yalichangia kuamka kwa uchumi wa Dubai, kabla ya hapo walikua wavaa mikanzu tu bila lolote la maana.
Elimu ya mzungu imewawezesha ku-divesify na kuepuka utegemezi wa mafuta maana yanaisha.
 

Kazi ya mzungu hii,bila mafuta na mzungu kuyagundua na kuweka teknolojia,waarabu wangekua wanajengewa vyoo hadi leo.
 
Mimi hushangaa hawa wazungu wakristo,eti dume zima linapigania kuolewa na dume mwenzake ,na huita hayo ni maendeleo na haki Za binadamu.

Tambua hili wazungu wa sasa hawajari kuhusu dini,
 
Tambua hili wazungu wa sasa hawajari kuhusu dini,

Ni kweli hawajali ukristo llakini uislamu wanaujali sana. Na ndiyo ukawaona wako mbioni huko Somalia, Djibouti, Yemen na kule West Africa . Kule Syria na Iraq hawataki kabisa kuondoka. Zanzibar ndiyo miaka 60 tunakufa masikini , nchi wameikabidhi Tanganyika
 
Tatizo lako mkuu husomi link zako, ndio Maana nakuuliza Equivalent ya la 7B ni nini huko Kenya?

Neno Truce Lina maanisha Agreement baina ya wapinzani wawili, wewe umesema lilikuwa Koloni la uingereza hio Truce imetoka wapi tena? Hiki ndio kilichoandikwa kwenye website ulioeka.

The Trucial Coast was known to Europeans as the Pirate Coast in the late eighteenth and early nineteenth centuries, when the powerful federation of the Qawasim, operating primarily from the port of Raʾs al-Khayma, ravaged shipping in the lower Persian (Arabian) Gulf. The government of British India sent several expeditions against them, finally subduing them in 1819. In the following year, Britain through the General Treaty of Peace, imposed a truce that condemned piracy and implied Britain's obligation to maintain peace in the Gulf. Subsequent treaties (truces) made the agreements more explicit, and the territories ruled by the shaykhs who were signatories to them became, in European usage, the Trucial Coast. The terms "Trucial States" and, confusingly, "Trucial Oman" were also used.

Hapo inaonesha waingereza walikuwa wanapigana na piracy ulikua na Kabila/Empire Hio Qawasim walikua wakiteka Meli, na Hao Masheikh walikua kama representative ya Waingereza ukanda huo.

Fear of European rivals led Britain to establish "exclusive agreements" with these shaykhs in 1892. These engagements made Great Britain, through the colonial government in Delhi, responsible for the foreign relations of these shaykhdoms and, by implication, for their protection. The British, interested primarily in the security of the Gulf, kept their involvement on land to a minimum. Their intervention however, tended to freeze political relationships. This situation remained essentially unaltered until the interwar period, when the British government forced the rulers to deal only with prospecting oil companies of which it approved. Britain's simultaneous establishment of an air route across the Gulf began to open the area to the outside world, especially Sharjah, where an Imperial Airways airfield was established. Moreover, oil concession agreements created the need for the novel concept of fixed borders, which the British began to establish

Hii paragraph ielewe kwa Hio sentesi ya kwanza "fear of European rivals"

Hao Masheikh wangeweza kuungana na Ujerumani ama Urusi ama Taifa lolote lile Uingereza aliwaweka karibu ili wasiwe chini ya wapinzani wake, paragraph Hio Hio inaelezea Uingereza hakuingilia sana mambo ya ndani ya Hizo nchi mpaka kipindi cha vita (Possibly vita vya pili vya Dunia) ambapo aliforce kampuni fulani ndio zichimbe hayo mafuta.

Hivyo hapo Kuna mambo kadhaa yanapigana na comments zako zilizopita.

1. Hao Masheikh hawakutawaliwa kama Ulivyo Sema huko juu bali kulikuwa na makubaliano Baina yao na Uingereza hasa kupambana na pirates.

2. Uingereza hakuingilia Masuala ya ndani ya Nchi ina maana hizo Biashara na miji yao walijenga wenyewe kama Hio picha niliokutumia 1940 mpaka kwenye mafuta

So mkuu Kikubwa alichofanya Uingereza ni kutoa huo Ulinzi, ila hao jamaa walikua independent,

Na kuprove kwamba hao jamaa ni wafanyabiashara wazuri na hawajabebwa kama unavyofikiria

1. Makampuni yote ya Mafuta Makubwa ni yao, hizo za Nje zinapewa Tenda

2. Wameendelea Vibaya mno, Wana Matrilioni ya Dola wame invest Dunia nzima, sasa hivi Ulaya Hali tete wao ndo wanazo weka kampuni nyingi hadi ikiwemo Swiss Credit.

3. Hakuna Rushwa na ujinga ujinga wa kupoteza mali za Taifa compare na Nchi nyengine, hela Inawekezwa na kua distributed evenly.

Ingekua wanabebwa kama unavyofikiri Leo Wangekua wanakula 10% kama Nchi za Ki Africa na Madini yao. Leo hii tuna Gas hapa Nchini Hatuna uwezo wala hatujui itatufaodisha vipi.

Africa Mafuta yamejaa kibao masikini lakini ndio unaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…