Rais wa Somalia apata Ph.D ya ilmu ya dunia, raia wake wamuige ili pawe na amani pale


Nakuletea links ambazo zinaeleza vizuri, inategemea tafsiri yako, pia nimeshangaa kumbe sio hao tu, kuna mataifa mengine mengi ya kiarabu au watu wa dini yenu walikua koloni za mzungu, ni jambo ambalo sikua hata nalifuatilia

 
Unajua hata Kusoma Mkuu, thread Nzima hakuna neno Dubai wala UAE humo,

Kasome Historia Mkuu, Hizo Nchi za Ghuba zote Zilikua Ni Ottoman Empire, Zilivyoasi zikaungana na Uingereza kupigana na Ottoman, zilivyoshinda ndio zikawa chini ya Ulinzi wa Uingereza (protectorate), hazijawahi kuwa makoloni.

Hadi leo wewe ukienda Uingereza sasa hivi japo unatoka Kenya na maisha yako yote umejitolea kuwa mke mdogo wa mzungu watakukagua hadi pichu,

Ila hao waarabu unaowasema sasa hivi wanaingia Uingereza Visa Free kama mkoani tu vile, Uingereza anawathamini hao kuliko hata Nchi wenzake majirani.


Ni nchi 6 tu Duniani zina ruhusa hii

  • Bahrain
  • Kuwait
  • Oman
  • Qatar
  • Saudi Arabia
  • United Arab Emirates
Kwanini hao wapewe special access? Sababu siku zote hao ni Ally wa Uingereza na Sio Makoloni yake. Kama yangekua Makoloni wangekua na Status kama Kenya ama India.
 

Soma vizuri kama umetulia, acha mihemko ya kidini, rudia tena utawapata humo hao UAE.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…