zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kwani hao somaliland si nao ni "wawaza mabikra" au ghafla wamekua watakatifu kisa wapo upande wa Israel?Let Israel settle and control Horn of Africa, watu wanao waza mabikira peponi sio wa kuwa acha hivi hivi
Kwa hiyo serikali tufuge magaidi coz tunawaogopa , na kwanza hatuwaogipi hao magaidiKwani hao somaliland si nao ni "wawaza mabikra" au ghafla wamekua watakatifu kisa wapo upande wa Israel?
Huoni risk ya Houthis na Iran kuanza kushambulia nchi zetu maskini hizi kama Kenya, Tanzania ili kupata ground ya kupambana na Israel ya somaliland?
Hizi risk hamzioni? Nchi maskini kama yetu ikipigwa na Khoramshar 4 ya Iran si tutabaki majivu??
Haya mawazo ya majitaka ndiyo yamekufanya uwe na siasa za majitaka mpaka kwenye siasa umepoteza mvuto.Kwani hao somaliland si nao ni "wawaza mabikra" au ghafla wamekua watakatifu kisa wapo upande wa Israel?
Huoni risk ya Houthis na Iran kuanza kushambulia nchi zetu maskini hizi kama Kenya, Tanzania ili kupata ground ya kupambana na Israel ya somaliland?
Hizi risk hamzioni? Nchi maskini kama yetu ikipigwa na Khoramshar 4 ya Iran si tutabaki majivu??
Kwa kupinga ukoloni?Aliwe kichwa huyu
USSR
Sasa mkuu anaendaje na mgogoro upo? Usalama wake unakuaje?Ajabu ni kwamba huyu Rais wa Somalia hawezi kabisa kwenda Hargeisa huko Somaliland. Anawezaje kudai eneo hilo ni la Somalia?
Hakuna Rais wa Somalia amewahi tembelea Somaliland kwa ziara rasmi tangu ilivyozuka vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Wasomali mwaka 1991.
Ni nchi kivipi? Kwahiyo leo M23 wakitangaza Congo Mashariki ni nchi kamili basi ni haki watu kuitambua bila kujali uhalali wa kisheria? Ni lazima kuwepo na treaty (Somalia na somaliland) inayotambulika sio umeamka asubuhi tu unatangaza basi inakua halali, huo ni uhuni.Kimataifa Israel inaitambua Somaliland hivyo inaweza kushirikiana nayo. Na kisheria ukishaitambua nchi huwezi tena kurudi nyuma na kusema huitambui.
Somaliland haitambuliki na AU,IGAD ,UN kama nchi huru ila inatambulika bado ni sehemu ya Somalia.Kimataifa Israel inaitambua Somaliland hivyo inaweza kushirikiana nayo. Na kisheria ukishaitambua nchi huwezi tena kurudi nyuma na kusema huitambui.
Kwani somaliland sio magaidi? SNM imeua sana watu somalia, lakini ina supportiwa na Israel sasa huoni ni unafiki?Kwa hiyo serikali tufuge magaidi coz tunawaogopa , na kwanza hatuwaogipi hao magaidi
Je ni kwanini Israel inaunga mkono "magaidi" wa Somali National Movement ilihali dunia nzima hakuna nchi hata moja inawatambua waasi hao kama taifa huru?
Je kivipi nchi inayojinasibu kupambana na ugaidi na machafuko middle east inafadhili machafuko huko Somalia?
Na kwanini AU ipo kimya huku ikiona wazi Israel inaweza sababisha Iran na houthi wahamishie mashambulizi Afrka mashariki.
Cc Tresor Mandala Proved
Somali land kwanini walijitenga na somalia?Sasa mkuu anaendaje na mgogoro upo? Usalama wake unakuaje?
Somalia imekua na mapigano mengi baada ya 1991 ikiwemo kuamka kwa mahakama za sharia na Al Shabaab muda wote huo serikali ya somalia haina meno nakumbuka uchaguzi wa miaka ya 2000 Rais alichaguliwa kwenye uwanja wa mpira tena Kenya!! Sasa serikali kama hiyo inawezaje kuwaza ziara za somaliland wakati nchini palikua hapakaliki?
Wanahitaji umoja zaidi kuliko hii migogoro inayoenda kuzalishwa na Israel.
Ndio ni super power, huoni ana control siasa za mashariki ya kati. Nani alijua Yemen ingechukuliwa kutoka mikono ya Saudi Arabia na UAE kwa spidi ya wiki moja? na leo hii meli haipiti Baab al Mandeeb wala Hormuz bila ruhusa ya Iran. Na wao ndio wanaamua waziri mkuu wa Iraq na Lebanon na sasa Turkey na Oman ziko upande wa Iran.Israel ni ka nchi kadogo sana lakini Iran ameshindwa kuisambaratisha na kwa akili zako zilivyo ndogo unafikiri Iran anaweza kupiga nchi zote yaani tayari Iran ni super powerππππ
Hizo kambi za USA ni kobaz? Mbona zimefungwa sasa kama Iran si chochote?Iran ameweza kupiga kwa wajinga wenzake wavaa kobazi basi unaona Iran ni super power.πππ
Sababu inalindwa na USA, hata Trump amesema hilo mara nyingi kuwa bila ya USA hao Israel wanapigwa ndani ya wiki moja tu. Nakumbuka hata Turkey ilipotaka kuingia upande wa Iran ni hao USA ndio walienda kumtuliza maana yake Israel inafanya fujo ikijua italindwa ila yenyewe kma yenyewe si lolote.Israel ni ka nchi kadogo sana lakini Iran ameshindwa kuisambaratisha
Kwa ilipofikia Somaliland lazima itakuwa tu nchi kamili yenye kutambulika. Ni suala la muda tu USA na nchi za west zote zitaitambua kutokana na strategic location yake ambayo mataifa hayo yanataka ili kulinda usalama wa Bab el Mandeb.Sasa mkuu anaendaje na mgogoro upo? Usalama wake unakuaje?
Somalia imekua na mapigano mengi baada ya 1991 ikiwemo kuamka kwa mahakama za sharia na Al Shabaab muda wote huo serikali ya somalia haina meno nakumbuka uchaguzi wa miaka ya 2000 Rais alichaguliwa kwenye uwanja wa mpira tena Kenya!! Sasa serikali kama hiyo inawezaje kuwaza ziara za somaliland wakati nchini palikua hapakaliki?
Wanahitaji umoja zaidi kuliko hii migogoro inayoenda kuzalishwa na Israel.
Hata Somaliland chini ya SNM ilifanya matukio ya kigaidi na uhalifu wa kivita kipindi cha vita ya kujitenga 1991.MBABE NETANYAU ANAWATEMBEZEA MOTO MAGAIDI KILA SEHEMU. LILE JAMAA NI BABE SANA. HALICHEKI NA KIMA. LINAPELEKA MOTO KILA SEHEMU KWA HAO MBWA