Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Waziri wa Fedha, Gavana Benki Kuu

Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Waziri wa Fedha, Gavana Benki Kuu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
president-salva-kiir.jpg
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur.

Baada ya uamuzi huo ambapo sababu hazijawekwa wazi, Rais Kiir amemteua Gavana wa zamani Dier Tong kuwa Waziri wa Fedha wakati Naibu Gavana wa Benki Kuu, Johny Ohisa amepandishwa cheo kuchukua nafasi ya Makur ambapo atakuwa anashikilia nafasi hiyo kwa muda.
---

South Sudan's Salva Kiir fires finance minister, central bank governor

South Sudan President Salva Kiir Mayardiit, on Thursday night, fired his Finance and Economic Planning minister Agak Acuil eight months after appointing him.

Through a presidential decree, the President also sent home the central bank governor Moses Makur.

In the surprise announcement on the state-run TV SSBC, President Kiir replaced Mr Acuil with former Bank of South Sudan Governor Dier Tong. The new Finance minister had served at the central bank from May 2018 to January 2020 when he was fired but reappointed 10 months later, in November, to the same position. He was sacked again in January 2022.

Under Mr Tong’s leadership, the bank introduced wide-ranging reforms to the financial markets in 2021, including requiring commercial banks to quote a single foreign exchange rate to limit market distortions.

The central bank deputy governor Johny Ohisa will replace his boss Mr Makur on an interim basis, President Kiir ordered.

Mr Makur previously worked as the director general for bank supervision, research and statistics at the central bank.


Source: Reuters
 
Wachangiaji wengi wa humu MMU sasa hivi wamekuwa vilaza sana hasa katika huu Uzi, thread hii ilipostiwa mwezi wa nane yaani august, watu mnachangia as if kawafuta kazi leo.idiots
 
Wachangiaji wengi wa humu MMU sasa hivi wamekuwa vilaza sana hasa katika huu Uzi, thread hii ilipostiwa mwezi wa nane yaani august, watu mnachangia as if kawafuta kazi leo.idiots
Hahaha kwanza jisahihishe humu sio MMU.
Wengi wanapelekwa na mihemuko ya matukio. Rais wa Sudan kusini aliwafuta kazi hao wasaidizi wake miezi minne iliyopita kabla ya tukio lake la kujikojolea halijatokea akiwa kwenye paredi ya wimbo wa taifa.
Wanajf muwe well informed na si kukurupuka tu kuchangia mada eti kwasababu "walimcheka alipojikojolea"
 
Back
Top Bottom