TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kuna jirani yangu kila siku anasikiliza hutuba za hayati magu
 
Yaani mama kanenepa balaa..lakini kuna wengine wakiwa na stress wananenepa
Mama ana siri nzito mateso manyanyaso anayajua yeye na Paroko acgeni tu msiojua miaka 10 mwisho ....Mama ameputa yapi acheni kabisa Mungu anajua kulipa machozi yavwamama.....acha ajifariji na watoto wake alikimbia nyumba huyo ....kuwekwa mke mwenza na mdogo wake ni dogo hilo ? Bado menhine acheni tuuu mwamba mtemi haswaa Kebbys salam kwenu banaaa
 
Ila kuna familia kama zina laana.jamani
 
Bila kuweka un Bila kuweka uongo na unafiki ukweli kutoka moyoni sikushitushwa kabisa Wala kusikitika.
Kwa sababu nilikua naiona Tanzania iliingia kwenye machafuko huko mbele I kama jamaa huyu angeendelea kuwepo madarakani.
Huyu alikua Ni Yona kabisa ,atoswe iko amani na furaha za wakazi wa Jamhuri hii zirejee kama zamani.
 
sio kila atakayekufa ikuume wewe, wacha walioguswa na msiba watao yao ya moyoni, kila kifo kinamwenyewe,
 
sawa, ulishazihesahu siku zako wewe za kuishi umebaki nazo ngapi ili na wewe uwe mfu, naona unavyofurahia aliyetangulia kwenye safari moja na wewe
Hahahaha

Mwamba na jeuri yote na ubabe wote ule, leo yupo peke yake analiwa na funza....

Mimi sina tatizo na kifo changu, naamini nitakufa.
Sina jeuri wala kiburi km cha mwamba....

Tumefunzwa kuwa wema na kuishi kwa upendo....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…