TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Toka kifo cha kijazi nilijua jamaa hata chukua round,maana kijazi ndio ilikuwa msaidizi wake namba1 yani katika Massa 24 zaidi ya 3/4 yake anakuwa na kijazi kwa update za kiofisi ilikuwa sio rahis yeye kutoboa.
Inawezekana kifo cha kijazo kilimshtua sana moyo. Duuh kweli yametukuta.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wakristu hushukuru kwa yote

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wa Nchi analazwa tangu tarehe 6 March Wananchi hawafahamishwi tunadanganywa kwamba ni mzima anachapa kazi hadi siku 12 baadaye ndiyo tunafahamishwa amefariki siyo sawa kabisa ni kinyume cha katiba na taratibu za kuongoza Nchi.
So sad kwa kweli.

Cheers to the wish you were here, but you're not
Cause the drinks bring back all the memories of everything we've been through when you're there @Jakaya

I really miss him, nakumbuka enzi zile mtu uko unafanya zako group assignment mara tangazo ili hapa halmashauri X limetoa nafasi 50 za kazi. Watu ooh Lord kwanini sikuzaliwa mapema ili sahii niwe nimemaliza kusoma.

Taifa litamuenzi kwa mazuri yake. Marehemu hasemwi kwa ubaya 🙌
 
Inawezekana kabisa Mkuu maana hili la kupigana vikumbo ili kuhakikisha Samia hachukui Kiti lilikuwa mitandaoni kwa wiki nzima kama siyo zaidi.
Samia itabidi achague mtu strong kumsaidia la sivyo watamsumbua sana. Najaribu kukumbuka jinsi mama Banda alivyopata tabu Malawi na kuishi a kushindwa uchaguzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…