TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Mungu nakushukuru kwa kutuondelea huyu Sadist,hatimae nchi itapumua. Ameni!
Aitabadili umaskini wako wa fikra kama we ni mtumwa utabaki utumwani ameshamaliza safari yake kama chum mmekilamba maisha yanaendelea we unadhani kufanya alikuwa ajui kama kuna kifo embu jitafakari hata wewe utageuka majonzi kwenye familia yako aijalishi una ubaya kiasi gani
 
Mungu ampumzishe mahali anapostahili
 
Bro, mimi sijawahi kupiga kura na wala sitopiga kura, ila kifo cha mtu sio cha kufurahia hata kama ametenda mabaya, vipi wewe hapo umetenda mabaya kiasi gani.? Je Mm nmetenda mabaya kiasi gani.? Kila mtu atahukumiwa na Mungu kwa wakati wake
 
Tuombe mema...hopeful Mungu anajua namna ya kurekebisha na atasimama na mama Samia, thou it's hard Ila najua atashinda cha muhimu apate strong&true support kutoka kwenye inner circle.
 
Naomba kuuliza, kama kumetangazwa maombolezo ya siku 2 inamaana kuanzia kesho hakuna kazi katika ofisi za umma?
 
Kila nafsi itaonja mauti, mbele yetu nyuma yake. Pumzika kwa amani mzee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…