Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania ikiripoti kuwa mkopo kutoka nje unakadiriwa kuwa asilimia 70.7 ya deni lote.

#tanzania #samiasuluhu #debts #economy
 
IMG-20250903-WA0110.jpg
 
baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania ikiripoti kuwa mkopo kutoka nje unakadiriwa kuwa asilimia 70.7 ya deni lote.
Walisema wawe wanataja deni kwa dola za Kimarekani ili lisionekane kubwa kupitiliza, kelele zipungue waendelee kukopa, naona wameanza
 
Back
Top Bottom