Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
kwa hiyo mnahofia hilo swali likiulizwa litavunja muungano???He is right, kwa sababu ki Fifa, Zanzibar doesn't exist. Kififa nchi ni moja tuu, JMT.
Ni sawa na kumuuliza SG wa UN kuhusu kiti cha Zanzibar.
P
Genta kwa nini mliidhinisha huyu Wallace Karia. Mbona hajui hata FIFA hawataki mambo ya siasa kuletwa michezoni..Hivi Rais wa TFF Wallace Karia anajua dhana halisi ya Sports Tourism? Tuanzie hapa Kwanza.
Uko sawaKwanini wasipige marufuku waandishi kuhudhuria ili tujue moja ?
kwanini wasimwache ajibu mwenyewe.Aulizwe tuHe is right, kwa sababu ki Fifa, Zanzibar doesn't exist. Kififa nchi ni moja tuu, JMT.
Ni sawa na kumuuliza SG wa UN kuhusu kiti cha Zanzibar.
P
Wallace Karia ni mwanamichezo kweli.Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
Akikujibu nistue .k
kwanini wasimwache ajibu mwenyewe.Aulizwe tu
Akikujibu nistue .
nafikiri huyu rais si mtanzania. sisi hatuna hulka hiyo, uhuru kwa mujibu wa katiba yetu ni haki ya msingi vinginevyo bado hii si nchi huru
Magu naye siyo mtanzania? hii awamu ya kazi tunafikiri huyu rais si mtanzania. sisi hatuna hulka hiyo, uhuru kwa mujibu wa katiba yetu ni haki ya msingi vinginevyo bado hii si nchi huru
Wanaepuka kitu kinachoitwa an embarasing situation kwa sababu michezo sio jambo la muungano, lakini mambo ya nje ni muungano. Kimichezo Zanzibar ni nchi, kisiasa, Zanzibar sio nchi, bali nchi ni Tanzania. Hivyo hawataki aulizwe maswali yatakayoamsha sintofahamu za kisiasa.ndo awapangie watu cha kuuliza!?..hilo jibu huyo rais wa FIFA hawezi kulitoa?