Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari kutomuuliza swali lolote Rais wa FIFA kuhusu Zanzibar!

Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari kutomuuliza swali lolote Rais wa FIFA kuhusu Zanzibar!

Yeah ni masuala yanayohitaji Uelewa wa Sheria ni Sawa tuu na wewe kuambiwa usizungumzie masuala yanayohitaji elimu ya udaktari mbele za Camera.
 
Mkuu
Hivi Rais wa TFF Wallace Karia anajua dhana halisi ya Sports Tourism? Tuanzie hapa Kwanza.
Genta kwa nini mliidhinisha huyu Wallace Karia. Mbona hajui hata FIFA hawataki mambo ya siasa kuletwa michezoni..

Khaa..
 
huyu jamaa uraia wake upo sawa au tumuulize kuhusu msomali kuja kuongoza TFF ni sawa
 
American Samoa

Anguilla

Aruba

Bermuda

British Virgin Islands

Cayman Islands

Chinese Taipei

Cook Islands

Curacao

England

Faroe Islands

Gibraltar

Guam

Hong Kong

Kosovo

Macau

Montserrat

New Caledonia

Northern Ireland

Palestine

Puerto Rico

Scotland

Tahiti

Turks and Caicos Islands

U.S. Virgin Islands

Wales

Pascal Mayalla kasome hizo nchi.
Fifa haipo kisiasa.
Acheni kutuharibia michezo na nchi yetu.
Na wewe nakukemea leo.
Katu usisapoti ujinga.
 
Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
Wallace Karia ni mwanamichezo kweli.
Fifa hapo kisiasa..

Akasome nchi hizi ambazo sio member wa UN ila ni member wa FIFA.
American Samoa

Anguilla

Aruba

Bermuda

British Virgin Islands

Cayman Islands

Chinese Taipei

Cook Islands

Curacao

England

Faroe Islands

Gibraltar

Guam

Hong Kong

Kosovo

Macau

Montserrat

New Caledonia

Northern Ireland

Palestine

Puerto Rico

Scotland

Tahiti

Turks and Caicos Islands

U.S. Virgin Islands

Wales
 
KIONGOZ ASIYEJUA MIPAKA YAKE HUTUPELEKA PASIPOJULIKANA.SOKA LIPO WAPI LEO.TUPO OVYO NILITEGEMEA MAKUBWA KWA HUYU JAMAA.
 
Wallace Karia anakosea. Mi nilijua ni mwanamichezo aliyeiva..! Kumbe haijui hata FIFA.

FIFA haipo kisiasa ..

Nchi ambazo sio member wa UN ila ni member wanaotambuliwa na FIFA hizi hapa..

Anguilla

Aruba

Bermuda

British Virgin Islands

Cayman Islands

Chinese Taipei

Cook Islands

Curacao

England

Faroe Islands

Gibraltar

Guam

Hong Kong

Kosovo

Macau

Montserrat

New Caledonia

Northern Ireland

Palestine

Puerto Rico

Scotland

Tahiti

Turks and Caicos Islands

U.S. Virgin Islands

Wales
 
nafikiri huyu rais si mtanzania. sisi hatuna hulka hiyo, uhuru kwa mujibu wa katiba yetu ni haki ya msingi vinginevyo bado hii si nchi huru
 
nitakushtua kwanza swali la kwanza ni ule ujumbe ulipeleka pendekezo kule CAF kuhusu uanachama wa Zanzibar walikuwa wamelewa au na kama hawakuwa wamelewa je wale waliochukua uamuzi wa kuwapa uanachama mpaka sherehe ikafanyika walikuwa vichaa na tatu kwanini tusipate majibu kutoka kwako ili wajinga wengine wasije huko FIFA kuhusu hili jambo au litawezekana miaka ijayo na KARIA hajui Dunia sasa ni kijiji huyu jamaa wataalamu wake wanaweza wakapata huu ujumbe alioutoa kwa waandishi wa habari kabla hajakuja na akaamua kulielezea na hapo itakuwa aibu ya nani
Akikujibu nistue .
 
Kwa dunia ya sasa huyo rais hadi mda huu ameshapata hizi habar kabla hajaja
 
ndo awapangie watu cha kuuliza!?..hilo jibu huyo rais wa FIFA hawezi kulitoa?
Wanaepuka kitu kinachoitwa an embarasing situation kwa sababu michezo sio jambo la muungano, lakini mambo ya nje ni muungano. Kimichezo Zanzibar ni nchi, kisiasa, Zanzibar sio nchi, bali nchi ni Tanzania. Hivyo hawataki aulizwe maswali yatakayoamsha sintofahamu za kisiasa.
P
 
Back
Top Bottom