Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

Taarifa ni za kweli, anashikiliwa na pccb tokea jana. Ila moja kati ya tuhuma zake, ni ubadhirifu wa fedha za tff na matumizi mabaya ya madaraka.

Kinara wa hayo yote, ni makamu wa raisi wa sasa anayemaliza muda wake. Naye ameomba nafasi ya uraisi ktk uchaguzi mkuu ujao. Kama zilivyo chaguzi nyingine, fitna huwa haziepukiki, zengwe limetengenezwa kipindi hiki, ili wamshikilie ashindwe kwenda kwenye usahili kesho. Na mgombea akishindwa kufika kwenye usahili, anakuwa amejitoa.

Kwa kadiri nnavyomfahamu jamal, atatoa ushirikiano wa kutosha Kwa pccb ili wakamilishe uchunguzi wao, na wampeleke mahakamani mapema. Kutuhumiwa hakuzii mtu kugombea, nnaimani mahakama itatenda haki, na kumpatia dhamana. Baada ya dhamana, anarudi kuendelea na mapambano ya kutetea nafasi yake.
 
TAKUKURU wamechukua simu zao zote!!
 



hahahaa....Mkuu we ni noma
 

Kutetea ulaji wake.
 
kwahiyo anaenda kukutana na RUGE?
 
Ni mtazamo wako pia... me huwa naheshinu sana mtazamo wa mtu. Ila kwa mtazamo wangu mimi, bado anafaa. Kama kuna vitu kakosea, ni suala la kumrekebisha tu.

Hafai uyo fisadi,soka letu linakufa. Yeye kaendekeza kula pesa za TFF tu.
 
Does FIFA operate that way? Let us wait and see
Njia iliyo tumika mbona ni sahihi tena fifa wataipongeza Tz kwa kuwadaka wahujumu mpira.... Blatteq nae alijisahau kumbe FBI wamesha penyeza watu, akaja kuingia kingi kiulaini...
 
Kilichomuangusha Sef Blata ndo kinamuangusha Malinzi!!

JPM mpaka amalize muda wake, panya watakuwa wa kuhesabu inji hii
 
Sifa za kuwa raisi lazima uwe umecheza mpira vp malinzi kacheza wapu
 
Ni mtazamo wako pia... me huwa naheshinu sana mtazamo wa mtu. Ila kwa mtazamo wangu mimi, bado anafaa. Kama kuna vitu kakosea, ni suala la kumrekebisha tu.


Hili suala linaweza kumpeleka katika "kurekebishwa" gerezani. Sasa hapo bado anafaa?
 
Taarifa zilizopatikana muda mfupi uliopita ni kuwa Rais wa TFF na Katibu wake wamekamatwa na PCCB kwa kutumia madaraka yao vibaya.

Stay tuned, kwa taarifa zaidi.
 
Hafai uyo fisadi,soka letu linakufa. Yeye kaendekeza kula pesa za TFF tu.
Amejitahidi sana kuendesha soka letu, na ameweza maeneo mengi. Mifano michache tu ni kama program za soka la vijana. Kuwekeza kwa vijana wa u14 na u17 ni faida kubwa sana kwa nchi maana ndio stars ya siku za usoni. Ligi kuu ya wanawake imewezekana chini uongozi wake, tzu17 imeshiriki afcon kwa kiwango kizuri kabisa etc...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…