Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

400,000/- ni once to go, ukishalipa hulipi tena na ilikuwa ni kufuta lile deni la BENKI MOJA iliyoikopesha TLS bilioni 2 alafu baada ya miaka 4 TLS ilipe bilioni 6.
Sasa , hawa mawakili wapya lazma wachange 200,000/- ambapo tunaambiwa zinaenda kuboresha jengo, ukiangalia kila uapisho wanaapishwa mawakili 400- kwa mwaka ni mawakili 800, swali , Je, 800 zidisha kwa 200,000/- utapata jibu kwa mwaka hizo fedha zinakwenda wapi?
 
Tuliwambia hawa jamaa kutoka chama cha njano ni wale wale hata wawe learned vipi.
 
Sasa itakuwaje, hivi hawa walioleta michepuo ya ajabu duniani hao wanafunzi watafanya kazi gani baada ya kuhitimu?
Wanauza viwanja vya michezo alafu wanaweka masomo ya michezo, bora wangeweka kozi za betting!
Zile kozi Mwanangu bora akasomee Boda boda atatoboa sio kwa mambo yale.
 
Ukaguzi huo ufanywe na CAG tu. Hao wengine ni WONGO mtupu. Internal auditor alikuwa wapi mpaka wizi huo utokee? Leo huyohuyo anakuja kukagua. Je atakagua kitu gani? Mtuhumiwa anajikagua! Plz CAG come to clean up the gangs/thieves/thugs at TLS. CAG only can do something relevant!
 
Hivi TLS ni hiari kujiunga? Ila chama chochote kinachokusanya hela ni cha kipigaji. Kuanzia vyama vya ushirika hadi vya kitaaluma. Kama unaweza jiepushe na tuvyama tunatokusanya pesa.
Ni lazima. Serikali ifanye amendment sheria ya TLS ili kujiunga iwe HIARI. Na mawakili wawe huru kuanzisha chama kingine kwa mujibu wa katiba ibara 20. Ulazima huo ndo chazo cha wizi.
 
Ni lazima. Serikali ifanye amendment sheria ya TLS ili kujiunga iwe HIARI. Na mawakili wawe huru kuanzisha chama kingine kwa mujibu wa katiba ibara 20. Ulazima huo ndo chazo cha wizi.
Kwani TLS imepata matatizo na kutatua ni kuwa na vyama vingi?
Mawakili wa Serikali wameuanda chao na leo hii wapo dodoma kwenye mkutano ila wanalazimishwa wanapenda TLS zaidi.
TLS imepata mataizo baada ya SHUJAA kuingia na kuchomekea watu wake, mpaka leo ni upigaji.
Kumbuka CEO hapigiwi kura, hao watu wa ofisni ndio wapigaji.
 
Fatma ndio alilazimisha watu walipe laki 4,

Kamama kafisadi kale.

CEO mwenyewe anaitwa Mariam Othman.

Hawa watu wana matatizo gani na upigaji??
 
Yeye hajaenda ofisini kwa muda gani mpaka hana taarifa hizo? I thought alitakiwa kuwa informed kwa kila kitu, walau kila siku, kama sio kila wiki, kama ni kuanzia 2008, kwa hiyo hata Lissu alipiga hela
 
Umefafanua vizuri. WIZI MTUPU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…