Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

Wakili msomi.
TLS ina Rais haina Mwenyekiti
 
Hivi vyama vya kitaaluma ni hiari. Vinaweza kuwa hata elfu. Ila kunakuwa na baraza moja la wanataaluma chini ya serikali. Kama ilivyo kwa madaktari, wafamasia nk. Huko ndiko unasajiliwa na kulipa ada.
 
Hivi vyama vya kitaaluma ni hiari. Vinaweza kuwa hata elfu. Ila kunakuwa na baraza moja la wanataaluma chini ya serikali. Kama ilivyo kwa madaktari, wafamasia nk. Huko ndiko unasajiliwa na kulipa ada.
TLS imeanzishwa na sheria ya Bunge, si hiari ni lazma!
hiki si chama cha waganga wa kienyeji huko simiyu [GAMBOSH]
 
Wao mawakili watakuwa huru kuanzisha vyama vyao. Hata wakiwa na vyama mia.
Hapana, hebu wasaidie mawazo ya kuwa na vyama vingi vya mawakili>?
Je, vilabu vya mpira navyo vianzish vyama? Kila kimoja kiwe na ligi yake?
Mawakili wa chama kimoja waamue wao wawe wanavaa kanzu mahakamani, kingine kivae madera na kingine kivae suti?
Kimoja kiamue kesi ni bure kusimamiwa na kingine kiseme si bure?
 
Ndiyo. Hata vyama vya mpira vinatakiwa kuwa vingi. Kisheria hakuna mwenye haki ya umonopoly wa kuendesha mpira au mashindano ya mbio. Ilimradi tu sheria za nchi zisivunjwe. Nchi inaweza kuwa hata na ligi mia. Duniani kunaweza kuwa hata na FIFA mia.
Tukirudi kwa mawakili kuvaa madera, Dress code itaamuliwa na chombo cha serikali kinachosimamia maadili ya mawakili. Kama ambavyo kuna baraza la kusimamia maadili ya madaktari, wafamasia, manesi na sasa nadhani inakuja waalimu.
 
aisee?
 
Fatma ndio alilazimisha watu walipe laki 4,

Kamama kafisadi kale.

CEO mwenyewe anaitwa Mariam Othman.

Hawa watu wana matatizo gani na upigaji??
Mdogo wangu unajivua taulo na ndani umevaa Sting mtoto wa kiume!
TLS maamuzi ya kulipa Tshs 400,000 yalipitishwa na BARAZA KUU [AGM] pale Arusha kwenye mkutano , viongozi wa kipindi hicho walikuwa wamekubali kulipa deni kwa riba ya kibenki.
Sasa , mawakili ndio walio amua na imesaidia sana kwakuwa wangelipa fedha nyingi sana kwenye benki husika.
Ukiendelea hivi kuna wa chuki kwa Binti kama Ftama Karume , huenda ukawa "shiga"huko mbeleni.
 
Hiyo iwe mwanzo pia kuyabaninisha majizi yote yaliyowahi kutajwa kwenye ripoti za CAG.

Otherwise izingatie hii "Nemo judex in causa sua"
 
Ni fatma karume ndio kapitisha hilo.

Danganya makahaba wenzio.
 
Hii si ndiyo ya kula kwa urefu wa kamba yako? Mwacheni ale kwanza mahela yenyewe ya serekale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…