PostGE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi atuhumiwa kufadhili Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo

Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October
Nliwahi kusema na ninarudia tena kila 1 atafikiwa ni swala la Muda tu...
 
anashangaa vip sasa kambale, kwani ni uongo kwamba TLS haijapokea pesa za ufadhili wa ghasia zile? :pedroP:

na halafu,
kwani wajibu wa wakili ni kushangaa?🐒
 
1792078272420.jpeg
 
Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Kama ni hivi, kwanini mlimuua Ali Kibao? Na sharif majini naye aliuwawa kwa sababu gani?

Siku na wewe ukifikiwa utaelewa kuwa chinja chinja hawaangalii chama au dini.
 
Serikali ina vyombo vingi vya kukusanya taarifa, hawawezi mdhuru mtu bila sababu
 
Back
Top Bottom