binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Wameshirikisha wanasheria kumfungulia mashtaka au wanaenda kichwa kichwa kesi ije iwatese kama ya Lissu.
Hadi wewe utafikiwa?Nliwahi kusema na ninarudia tena kila 1 atafikiwa ni swala la Muda tu...
Tazama hii pundaIli ufahamu TU kuwa huna akili timamu, unambiwa mandamano ya 29 October 2026, wewe Kwa kutumia Makalio unafikiri ni October 29, 2025 , kiufupi mzee wako angetumia kondomu Dunia ingekuwa imepunguza mjinga mmoja ambaye ni wewe
Unaishi kwa kumtetea Ibilisi shetani.Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Yana mwisho hayo, tena mwisho mbaya sana.Aiseee!Ni kubambikiziana tu kesi!