PostGE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi atuhumiwa kufadhili Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2026

PostGE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi atuhumiwa kufadhili Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 5
Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo

Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October

Kazini kwwetu kuna kazi. Ina maana kwa mambo kama haya, agenda za maendeleo zisubiri kidogo mpaka yaishe
 
Kwamba ndio kura yake ilikuwa ya 31m ama? Unadhani watu ni wajinga kwa style hiyo? Mlikuwa mnapora kura za cdm na kujifanya ni zenu, safari hii cdm wakogomea upuuzi, idadi yenu halisi ya wapiga kura ikadhihirika. Saa hii mmebaki kutengeneza ushihidi wa vitisho ili kuficha ukweli.

Ni hivi, taka msitake, hiki si kizazi cha ccm, na mtataabika sana kulazimisha kuongoza kizazi kisichowataka.
Kama kura zikipigwa hata mbili nchi nzima then mchaguliwa ni legitimate, CCM ina wanachama hai 10+m
 
Kama kura zikipigwa hata mbili nchi nzima then mchaguliwa ni legitimate, CCM ina wanachama hai 10+m
Hakuna wazee 10m nchi hii, na ccm ni chama cha wazee, na ile voters turn ya juzi ndio ilidhihirisha kuwa hamna watu hao zaidi ya kujipa kura za kupika. Kama ukipata hata kura 2 nchi nzima unaweza kuwa rais, mlimpa kura 31m za uongo ili iweje?
 
Mlichoenda kuvuruga vituoni kilikua nini?..mkakata watu vidole vyenye wino,wino ulikua wa nini?
Kungekuwa na waliokatwa vidole kweli, Mwigulu angewalipia hela awe anazunguka nao majukwaani kuficha aibu ya kunajisi uchaguzi iliyofanywa na ccm uchaguzi wa 2025.
 
Hakuna wazee 10m nchi hii, na ccm ni chama cha wazee, na ile voters turn ya juzi ndio ilidhihirisha kuwa hamna watu hao zaidi ya kujipa kura za kupika. Kama ukipata hata kura 2 nchi nzima unaweza kuwa rais, mlimpa kura 31m za uongo ili iweje?
Mtoto wa sheta kaila ni mzee,sheta mwenyewe mzee?..tatizo huwa mnajidanganya,vijana wengi wanajiunga CCM kufuata fursa
 
Lilikua swala la muda tu alikua target muda tu sasa kajichanganya kwenye 18
 
Mimi ni mkatoliki ndaki ndaki, msitumie udini kueneza chuki, kama ambavyo Bin Gagula amekuwa akitembeza fedha kwa ajili hiyo, hakukuwa na jambo lolote lililofanywa na katoliki dhidi ya serikali zaidi ya kupinga kwa waraka ambao hata wewe unaujua. Mengineyo ni jitihada za kutugawa kwa dini. Tena basi walahu ungelalamikia wahumini wa Gwajima walioandamana MO29 Kuliko Wakatoliki.
Wewe kusema Gagula huenezi chuki sio? Basi nasi tutakomaa nao hao washika migongo!
 
Ujinga....Mpaka zinatumwa na kupokelewa,walikuwa wapi?
 
hizo drama zao inaashiria 2030 hapatakua na uchaguzi nani ataenda kupiga kura
 
Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Ili ufahamu TU kuwa huna akili timamu, unambiwa mandamano ya 29 October 2026, wewe Kwa kutumia Makalio unafikiri ni October 29, 2025 , kiufupi mzee wako angetumia kondomu Dunia ingekuwa imepunguza mjinga mmoja ambaye ni wewe
 
Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo

Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October
Sasa mpaka anapokea hizo fedha na kuanza kuzigawa WAO walikuwa wapi ? Mbona wana mambo ya kitoto sana ?
 
Back
Top Bottom