PostGE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi atuhumiwa kufadhili Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2026

PostGE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi atuhumiwa kufadhili Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walivyo wajinga hawajui kuwa simu zao zote kila wanachaandika na kutuma kinaonekana wazi kabisa
Ukishakuwa kwenye orodha utaishi kwa tabu sana, huwa hawakurupuki, wanaona kila kitu
 
Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo

Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October

Madeleka ni Next TLS President...let's wait and see...Mwabukusi tunakushukuru kwa kazi nzuri iliyotukuka
 
Kwani tume ya Jaji Lila ishatoa majibu? Ndo maana Heche anasema ile tume ni kanyaboya. Nani kaiingilia akaanza kuvujisha siri na kutaja watu? Kumbe uchunguzi ni danganya toto, walishapanga watu wa kuangushia jumba bovu!. Tume ya Lila imekosa uhalali.

Tume imeundwa kuwashughulikia wakosoaji wa Samia kuingia madarakani kimabavu
 
Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Bado mnaamini kuna watu wanaokotwa kirahisi hivyo na hizo shahidi za kubumba? Tuambieni ni wapi kura 31m alipata muuaji Samia. Kama mnatengeneza shahidi za hadaa ili kuficha ukweli, basi mjue mtawaokota wajinga wajinga wa vijijini.
 
Kwa mtazamo wangu hili swala lingepotezewa kabisa, ni kuibua chuki mpya zisizokuwa na matokeo mazuri kwa maslahi mapana ya taifa.

Ukiwa mjinga utashauliwa ujinga na utakubali na wenzako Wana take advantage out,wanaweka mtu waoo,,

Yeye kala tuu ,hizo ni kete zinasukumwa.

Mwisho wa wa siku out before 2030 .

Amkaaaaaaa,shitukaaaaaaa

Ohooooooo
 
Back
Top Bottom