Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,603
- 2,039
Nliwahi kusema na ninarudia tena kila 1 atafikiwa ni swala la Muda tu...Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo
Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October
Huyo huyo Mafwele muuaji?Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
anashangaa vip sasa kambale, kwani ni uongo kwamba TLS haijapokea pesa za ufadhili wa ghasia zile?Hiki ndicho alichoitiwa kwenye ofisi ya ZCO Mafwele
===========
Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jebra Kambole, ameshangazwa na hatua ya Jeshi la Polisi kumhoji mteja wake, Boniface Mwabukusi, kwa tuhuma za Baraza la Uongozi la TLS kupokea fedha za kufadhili maandamano ya Oktoba 29, 2026 tarehe ambayo bado haijawahi kufika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya Mwabukusi kumaliza kuhojiwa katika Kituo cha Polisi, Wakili Kambole amebainisha kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote wa kisheria wala ukweli, kwani Baraza la Uongozi la TLS halijawahi kukaa au kujadili masuala ya kuratibu maandamano ya aina hiyo
Soma Pia: Mwabukusi atakiwa kufika ofisi ya ZCO Dar es Salaam tarehe 15 October
Iz jasi mara ofu taim!!!!Wakitakacho watakipata
K.mamayo na huyu ajuza wenu siku zaja mtableed muda wote..Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Acha ujinga. Kuna mahali nimeuliza polisi anafanya kazi kwa maelekezo ya nani! Au mimi nimeongelea kuhusu kufumuliwa kwa muundo wake!Muwe mnatumia akili hata ya mnemba basi ..... kwan hamjui police anafanya kazi kwa maelekezo ya nani?
Mkuu, tusi-deal na dalili za ugonjwa bali tutibu ugonjwa wenyewe. Japokuwa watanzania wengi wanaonekana kutojua kinachoendelea lakini mimi naona CCM ikibomoka kutoka ndani. Haina muda mrefu.Jeshi la polisi lifumuliwe haraka iwezekanavyo. Linatia aibu.
Wewe unakaupumbavu ka kakifamilia, we endeleaKamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Umesoma tarehe lakini? Umuhimu wa shule unadhihirika!Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Eti Chadema kutwaa nchi.....Chadema ikitwaa nchi italivunjilia mbali na viongozi wake watadakwa
Kama ni hivi, kwanini mlimuua Ali Kibao? Na sharif majini naye aliuwawa kwa sababu gani?Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Netflix Government.Kamtandao kalikua kapana,kuanzia wabeba misalaba ya mpingo madhabahuni hadi kwa kondoo wao kila sekta ikiwemo security,waliamini Wana nguvu kuliko dola,ni muda wa tohara bila ganzi
Serikali ina vyombo vingi vya kukusanya taarifa, hawawezi mdhuru mtu bila sababuKama ni hivi, kwanini mlimuua Ali Kibao? Na sharif majini naye aliuwawa kwa sababu gani?
Siku na wewe ukifikiwa utaelewa kuwa chinja chinja hawaangalii chama au dini.