Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Mchezaji mmoja tena galasa kama ronaldo hawezi kuimprove ligi nzima...jamaa yuko sahihi tuweke mihemko na ushabiki pembeniMpira pesa
Maoni kwenye pesa za watu yameanza lini?Mchezaji mmoja tena galasa kama ronaldo hawezi kuimprove ligi nzima...jamaa yuko sahihi tuweke mihemko na ushabiki pembeni
Wivu unawasumbua...mbona USA wanafanya hivyo hivyo kuchukua kina Messi?mbona kule hawatoi onyo?Waache ujinga wakati waarabu wanapeleka pesa ulaya kwa kununua man City na PSG hawakupiga kelele Leo ndio wameshituka wachezaji nyota wanaenda uarabuni, ni wivu unawasumbua.
Hao wanakwenda kupromote hizo ligi.Wivu unawasumbua...mbona USA wanafanya hivyo hivyo kuchukua kina Messi?mbona kule hawatoi onyo?
Huu ndio ushabiki maandazi sasa, mtu wa mpira huwezi kumuita Ronaldo garasa.Mchezaji mmoja tena galasa kama ronaldo hawezi kuimprove ligi nzima...jamaa yuko sahihi tuweke mihemko na ushabiki pembeni
Ligi ya Marekani timu kibao zinaingiza Hasara, ila hili hawaongei.Wivu unawasumbua...mbona USA wanafanya hivyo hivyo kuchukua kina Messi?mbona kule hawatoi onyo?
Ametoa maoni kama na wewe ulivyotoa maoni tofauti ya wewe na yeye ni kuwa yeye akitoa maoni inakuwa habari kwako wewe sio habariLigi ya Marekani timu kibao zinaingiza Hasara, ila hili hawaongei.
Pia Uefa ni Chombo cha soka Ulaya, yanaondelea Nje ya Ulaya hayawahusu.
Sikujua kama Onyo ni maoni.Ametoa maoni kama na wewe ulivyotoa maoni tofauti ya wewe na yeye ni kuwa yeye akitoa maoni inakuwa habari kwako wewe sio habari
Onyo linaambatana na adhabu kama hujui .Sikujua kama Onyo ni maoni.
Anaogopa attention ya ligi za Ulaya kupotea.hii kali rais wa Soka ulaya anaizungumzia sehemu ya Asia ??
Kuna long term solution na short term solution.Mchezaji mmoja tena galasa kama ronaldo hawezi kuimprove ligi nzima...jamaa yuko sahihi tuweke mihemko na ushabiki pembeni
Hii ndio pointAnaogopa attention ya ligi za Ulaya kupotea.