political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Kuondoka messi na Robaldo ulaya tayari UEFA wamepata pigo ..mbape,Halland na wenzao ukiwakusanya wote awawezi kufikia mvuto na ushawishi wa Ronaldo au messi na washukuru sana messi kaenda USA nje na apo ulaya ingeenda kupoteza wawekezaji kwenye haki za kurusha matangazo..nakupa mfano kidogo tu itokee leo hii Inter miami wanakutana na Al nasry maybe na PSG anakutana na Man city unafikiri mechi ipi kati ya izo ingepata views wengi na TV kuigombania kuionesha?Tuwe serious basi. Yaani Wadhamini waache kupigana vikumbo kwenye ligi yenye Mbappe, Haaland, De Brune, Jude Bellingham na mastaa wengine kibao, Wapungue waende kuonesha ligi za Waastafu?!
Tuwe tunajitahidi kupreview tunachoandika kabla hatujapost.