Mbona wakienda kuwekeza ulaya hawakatazwi Tena wamechangia pakubwa sana kuufanya mpira upendeze.Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
View attachment 2661869
Sjakuelewa..hizo long term na short unamaanisha solution za nini?Kuna long term solution na short term solution.
Saudia wanataka WC, sasa hizi academy zitawasaidia nini kupata WC host?
#YNWA
Hajawazuia,kawashauri.Mbona wakienda kuwekeza ulaya hawakatazwi Tena wamechangia pakubwa sana kuufanya mpira upendeze.
Waache wajifrahishe bhna alaaaah
Hata WC ni short solution,Kuna long term solution na short term solution.
Saudia wanataka WC, sasa hizi academy zitawasaidia nini kupata WC host?
#YNWA
Wewe ndo unaleta ushabiki wako na utim ronaldo hapa.Huu ndio ushabiki maandazi sasa, mtu wa mpira huwezi kumuita Ronaldo garasa.
Kila binadamu as long as ni binadamu hajakamilika, hivyo anafit kushauriwa.Maoni kwenye pesa za watu yameanza lini?
Qatar sio Saudi, Qatar ni ki nchi kidogo, Saudi ni very powerfull wapo kila sehemu.Sjakuelewa..hizo long term na short unamaanisha solution za nini?
Maana WC host Qatar washaharibu mambo sodhan kama litarudi tena uarabuni ndani ya hii miaka 100 tuliyo hai
Shida ya wazungu wivuRais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
View attachment 2661869
Kuna kusoma kuelewa na Kusoma kubishana.Waache ujinga wakati waarabu wanapeleka pesa ulaya kwa kununua man City na PSG hawakupiga kelele Leo ndio wameshituka wachezaji nyota wanaenda uarabuni, ni wivu unawasumbua.
Hela inawawasha waache waitie kiberitiRais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
View attachment 2661869
Tuwe serious basi. Yaani Wadhamini waache kupigana vikumbo kwenye ligi yenye Mbappe, Haaland, De Brune, Jude Bellingham na mastaa wengine kibao, Wapungue waende kuonesha ligi za Waastafu?!Rais wa UEFA anataia huruma kaona msimu ujao kuanzia ESPN, na ndugu zake wengine wanagombania kuonesha ligi ya Saud arabia anaofia watapunguza wadhamnini kwenye ligi zao
Naona vikwazo vinaanza taratibuRais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
View attachment 2661869
Saudi Arabia wana viwanja bora kabisa, academies nzuri na vilevile pesa. Hakuna mchezaji chizi atakubali aendelee kuutumikia mkataba wa £250k per week wakati mwarabu anakupa mara £600k-1M per week.Nina uhakika hili lilikuwa ni swali kutoka kwa muandishi akijibu
Ameongea kitu Cha kweli sana tena na uwazi kama ni wasikivu watamuelewa China walijaribu kufanya hivi wakashindwa
Ukitaka kuendeleza mpira wekeza kwa vijana Kisha miundo mbinu Bora ya viwanja na makocha halafu media baada ya hapo ligi Yako itafanikiwa huu ni ukweli wa maendeleo
Nyota Gani sasa? Kina Ronaldo,benzema hao ni wastaafu wanaenda chukua pensheni tu, au mediocre player kama kina neves, hata china walienda wastaafu tu, huwezi msikia mchezaji kama mbappe au haaland akihusishwa ni huu ujingaWaache ujinga wakati waarabu wanapeleka pesa ulaya kwa kununua man City na PSG hawakupiga kelele Leo ndio wameshituka wachezaji nyota wanaenda uarabuni, ni wivu unawasumbua.
Waliharibu vip , kuwakataza watu wasinyanduane ? Kukataza pisi zisiende beach na vyupi ? Kupiga mkwara madanga ya Ulaya na America akina Beyonce ? Kuwalaza watu kwenye makontena 😁😁😁😁😁😁 waarabu walizinguaaaaaaaaaa.....Kobazi hawataona kombe tenaSjakuelewa..hizo long term na short unamaanisha solution za nini?
Maana WC host Qatar washaharibu mambo sodhan kama litarudi tena uarabuni ndani ya hii miaka 100 tuliyo hai
China serikali iliingilia kati wakaweka vikwazo club zisitoe pesa nyingi kusajili wachezaji, nadhani waliweka rungu la Kodi kubwa huu upumbavu ukaishaNina uhakika hili lilikuwa ni swali kutoka kwa muandishi akijibu
Ameongea kitu Cha kweli sana tena na uwazi kama ni wasikivu watamuelewa China walijaribu kufanya hivi wakashindwa
Ukitaka kuendeleza mpira wekeza kwa vijana Kisha miundo mbinu Bora ya viwanja na makocha halafu media baada ya hapo ligi Yako itafanikiwa huu ni ukweli wa maendeleo