Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

Kwani nyie mna nini ambacho sisi hatuna mpaka nyinyi mjiite matajiri? Au njaa iliyokithiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadithi njoo utamu kolea 😂😂😂

Em mtupe kwanza maendeleo ya Hungarian light railway ambayo mliizindua last June 😂😂😂 Uhuru unawajua mahali anapowashikia akili, pesa ya reli tamu sana

Mipango ya Uganda saivi imezima ziii
 
nikama hujui what it means to be launched, now show us the launch?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkaamua kumuomba Zuma madawati 1000? Madawati??? [emoji15] Tz inaomba South Africa madawati? Huoni kama huo ni ukichaa wa aina yake?
Kwa akili yako unaiona SA ni nchi ya kispotispoti sio, tafuta information
 
Angalau tuna legacy kwa Africa, sasa manyang'au mnaona ngozi nyeupe kama miungu watu, wanavyojua kuwapatia wanawadanganya na vingereza tu sijui African centre for nn utapeli mtupu, nanyi mnaingia kichwa kichwa, haya tuone hizo train za mwendokasi kama mtaziweza
 

Legacy ya umaskini, nchi mna kila kitu lakini wazembe wa kutupwa, kila kitu kinaliwa, kwanza hao Wasouth mnaowashobokeaga ndio wanaongoza kwenye kutafuna madini yenu huku mkikenua meno na kuwaita ndugu.
Dunia ya leo haina cha undugu wala nini ila maslahi, kidogo namuunga mikono rais wenu kwa kuwabadilikia hao wanaotafuna madini yenu, sema naye hukurupuka bila kushauriwa jinsi ya kufanikisha zoezi.
 
Mtatuelewa tu nyie endeleeni na mabeberu yenu
 
Mtatuelewa tu nyie endeleeni na mabeberu yenu

Mabeberu hayakwepeki, hata rais wenu alikiri yananyonya gesi yenu na hakuna kitu mnachoweza kuwafanya. Ndio maana nikasema nyie hamjajifunza jinsi gani ya kucheza michezo ya kinyang'au, kwamba uliwe na wewe utafune, nyie mnaliwa tu. Mkiona ngozi nyeupe mnatetemeka na kuachia kila kitu.
Mkaribishe beberu ila kaa naye vikao faraghani usiku, mpige mahesabu shilingi kwa shilingi, yeye akule nini na nyie mpate nini.
 

Mbona kenya pia ni Masikini wa kutupwa..
 
Mbona kenya pia ni Masikini wa kutupwa..

Tungekua hata na robo ya malighafi mlionayo tungeongoza Afrika, leo hii nchi yetu ndogo na nusu yake kame lakini tunaongoza na kushinda majitu kama DRC, Tanzania na ukanda wote huu.
 
Wamewatengenezea uadui na somalia wala hamshtuki, sasa jamaa wanauza bahari yenu nyie jidaiini na unyang'au wa kwenye keyboard, mtakuja kustuka washachukua mpaka Mombasa
 
Tungekua hata na robo ya malighafi mlionayo tungeongoza Afrika, leo hii nchi yetu ndogo na nusu yake kame lakini tunaongoza na kushinda majitu kama DRC, Tanzania na ukanda wote huu.
Mmezubaa wenyewe ardhi yenu mmewakabidhi manyang'au wenzenu wacha wawafundishe namba za kirumi, mnaongoza kwenye mapaper tu ila kiuhalisia mifukara ya hatari kabisa
 
Tungekua hata na robo ya malighafi mlionayo tungeongoza Afrika, leo hii nchi yetu ndogo na nusu yake kame lakini tunaongoza na kushinda majitu kama DRC, Tanzania na ukanda wote huu.
Tunge ×infinity,Tulilala sana ofcz I have to admitt that, but this time tuko macho tunafanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hizo rangi nyeupe ndio mnaziabudu nyinyi? Wanawapiga wanamtukana mpaka Rais wenu na hamna la kuwa fanya

Nilishangaa kuona habari kuhusu yule Malkia wa vipusa wa kichina tuliomfunga miaka 30 jana wakenya wanashangaa Tanzania kwamba tumewezaje kufanya hivyo na wengine wakasema tutanyimwa misaada, Dah nimewashangaa kwa kweli, laiti mngejua tumefunga zaidi ya wachina 50 mpaka saivi wapo behind bars mpaka na wazungu, wahindi, waarabu wananyea debe Tanzania lakini Kenya is a breaking news.
 
Akija kwenu Rais wa kigeni, mnajigamba. Akija kwa wengine, mnawasema vibaya eti ooh, ukoloni, ooh, hawawezi jifanyia kitu hawa. Watanzania kwa umbeya hutawashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…