Tunge ×infinity,Tulilala sana ofcz I have to admitt that, but this time tuko macho tunafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ya kwamba mwaka huu tunafungua JNIA T3, awamu ya kwanza ya SGR Hii ni miradi ya muhimu sana kwa sekta ya usafirishajiNimesubiri sana nione nini hicho mnafanya kipya, yaani tangu nianze kusikia 'Tanzania giant has woken up'....ni muda mrefu sana, hilo jitu sijui huwa linaamka vipi.
Hayo mambo ni ya kwenu. Huku wakija ni biashara tu.Hao mabeberu nyie si mabwana zenu,wakija lazima mfue chupi nakuzipasi
Sent using Jamii Forums mobile app
labda kushinda njaaaTungekua hata na robo ya malighafi mlionayo tungeongoza Afrika, leo hii nchi yetu ndogo na nusu yake kame lakini tunaongoza na kushinda majitu kama DRC, Tanzania na ukanda wote huu.
Mnatushinda kwa kipi au kwa huo upuuzi mnaouita GDPTungekua hata na robo ya malighafi mlionayo tungeongoza Afrika, leo hii nchi yetu ndogo na nusu yake kame lakini tunaongoza na kushinda majitu kama DRC, Tanzania na ukanda wote huu.
Unajua ya kwamba mwaka huu tunafungua JNIA T3, awamu ya kwanza ya SGR Hii ni miradi ya muhimu sana kwa sekta ya usafirishaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesubiri sana nione nini hicho mnafanya kipya, yaani tangu nianze kusikia 'Tanzania giant has woken up'....ni muda mrefu sana, hilo jitu sijui huwa linaamka vipi.
😂😂😂 Kumbe bado mnateseka?Pipeline hoyeee!
Total ilipochagua Tz kupitisha bomba lake ulisherehekea sasa anakuja kuanzishwa metro train ndo unaleta huu upuzi.... Mkuki Kwa nguruwe mtamu, lakini Kwa binadamu.......Mojawapo ya nchi hatari sana kwa masilahi ya africa ni france. Kila kuchao wanavuruga.
👇👇👇
France Still Bleeds Africa Of $500 Billion Every Year And Stages Coups When Countries Refuse To Pay!
Total is a multinatinal company..Here we are talking about the french government which macron headsTotal ilipochagua Tz kupitisha bomba lake ulisherehekea sasa anakuja kuanzishwa metro train ndo unaleta huu upuzi.... Mkuki Kwa nguruwe mtamu, lakini Kwa binadamu.......
Mr slim kila anatibuana na French pia hakuna sehemu alipo ufaransa alafu kukawa na amani
Nakumbuka mgogoro wa jk na pk ufaransa ndio walikuwa wanampa kichwa jkView attachment 1027304
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Katika taifa ambalo Kenya msilitegemee kabisa basi ni ni urusi sifa yao kubwa hawapendi unafki hasa wa africaHuku kwetu hatujali, waje wote hao hata Mrusi kuna kitu tunapanga naye....
Katika taifa ambalo Kenya msilitegemee kabisa basi ni ni urusi sifa yao kubwa hawapendi unafki hasa wa africa
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Utakua hujui historia, Mrusi ni mnafiki mkubwa na ndio njia pekee ya kupambana na Marekani, isingekua kwa unafiki tangu enzi za vita baridi baina yao angelimezwa kitambo.
Theresa May ni raisi wa nchi gani ww kopoWatanzania kutokwa povu juu Marais wanakuja Kenya;
Obama
Netenyahu
Theresa May
Tshisekedi
Macron