Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

Tunge ×infinity,Tulilala sana ofcz I have to admitt that, but this time tuko macho tunafanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimesubiri sana nione nini hicho mnafanya kipya, yaani tangu nianze kusikia 'Tanzania giant has woken up'....ni muda mrefu sana, hilo jitu sijui huwa linaamka vipi.
 
Unajua ya kwamba mwaka huu tunafungua JNIA T3, awamu ya kwanza ya SGR Hii ni miradi ya muhimu sana kwa sekta ya usafirishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The visit of French President Macron to Nairobi puts the Hoima-Tanga pipeline in jeopardy. There is real reason to be afraid given that Total SA is main shareholder of Turkana oil and Hoima oil. It is pointless and waste of resources to invest in parallel pipelines which all leads to Indian Ocean.
 
Unajua ya kwamba mwaka huu tunafungua JNIA T3, awamu ya kwanza ya SGR Hii ni miradi ya muhimu sana kwa sekta ya usafirishaji

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani kwa kweli hadi mzindue ndio nitaelewa chochote maana hii awamu tangu waingie sijaona kimoja walichokamilisha kikaonekana, wamezindua vya Kikwete kama daraja lakini wao kama wao naona matamko tu, mara kuhamia kwenda Dodoma, mara korosho, mara mnafanya vitu kwa hela yenu ya ndndani ilhali deni la taifa linavimba kimya kimya.
Anyway tusubiri ipo siku hilo jitu labda litaamka.
 
Nimesubiri sana nione nini hicho mnafanya kipya, yaani tangu nianze kusikia 'Tanzania giant has woken up'....ni muda mrefu sana, hilo jitu sijui huwa linaamka vipi.

Unasubiria ukiwa wapi??

Unalinganisha uamkaji wa tembo(tz) na kuku(kenya)[emoji13]
 
Mr slim kila anatibuana na French pia hakuna sehemu alipo ufaransa alafu kukawa na amani

Nakumbuka mgogoro wa jk na pk ufaransa ndio walikuwa wanampa kichwa jk
IMG_20190220_002344.jpeg

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Total ilipochagua Tz kupitisha bomba lake ulisherehekea sasa anakuja kuanzishwa metro train ndo unaleta huu upuzi.... Mkuki Kwa nguruwe mtamu, lakini Kwa binadamu.......
Total is a multinatinal company..Here we are talking about the french government which macron heads
 
Mr slim kila anatibuana na French pia hakuna sehemu alipo ufaransa alafu kukawa na amani

Nakumbuka mgogoro wa jk na pk ufaransa ndio walikuwa wanampa kichwa jkView attachment 1027304

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Huku kwetu hatujali, waje wote hao hata Mrusi kuna kitu tunapanga naye....
 
Katika taifa ambalo Kenya msilitegemee kabisa basi ni ni urusi sifa yao kubwa hawapendi unafki hasa wa africa

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Watanzania kutokwa povu juu Marais wanakuja Kenya;
Obama
Netenyahu
Theresa May
Tshisekedi
Macron
 
Katika taifa ambalo Kenya msilitegemee kabisa basi ni ni urusi sifa yao kubwa hawapendi unafki hasa wa africa

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Utakua hujui historia, Mrusi ni mnafiki mkubwa na ndio njia pekee ya kupambana na Marekani, isingekua kwa unafiki tangu enzi za vita baridi baina yao angelimezwa kitambo.
 
Aaah wap KBG wanaamini kuanguka kwa USSR kulichangiwa saana na nchi za Africa that warusi hawana time na Africa hata kidogo

Taja nchi yoyote yenye ushirikiano wa maana na urusi kwa Africa

Back
Top Bottom