Rais wa Uganda kushuhudia mechi ya CHAN: Uganda vs Tanzania

Stars wanapata bao la kwanza, mfungaji ni John Bocco dakika ya 58 ya mchezo
Uganda 0 - 1 Tanzania
 
afcon na chan hakuna tofauti?
 
Hamna hata mchezaji mmoja wa simba halafu mkwasa anataka simba wamshangilie!

Mmeanza tiyari!! hii timu ya Taifa mkuu, tuweke ushabiki wa vilabu pembeni
 
mungu saidia, mungu yupo nasi. Ila tbc2 haipo fair, 2nalipa kodi hawataki kutuonesha mpira. Wazalendo wa taifa hili bado tupo.
 
Dua ya nini?

Hivi timu ili ishinde inahitajika dua au juhudi?

Kwa TZ kwa sasa tuhanitaji juhudi zaidi. Dua tunaomba kila kukicha na waganda nao pia wanaomba dua vilevile kwa Mungu huyo huyo ambaye hana upendeleo...
 
Kiss FM live from Nakivubo stadium; stay tuned Tanzanias you may win this game but u can't qualify
 
Tuwekeeni Wazalendo updates hapa jamani
 
Bado tunaongoza 1 uganda cranes 0 dk33 kipind cha2.
 
zote ni afcon ndugu. Tofauti ni umri2
fafanua hapo kwenye umri, mi najua tofauti ni kuwa moja inahusisha wachezaji wanaocheza afrika na nje ya mipaka ya afrika wakati nyingine inahusha wachezaji wanaocheza afrika tu
 
Dk 38 Kipindi cha pili

Uganda wanasawazisha kupitia Robert Ssentongo
 
fafanua hapo kwenye umri, mi najua tofauti ni kuwa moja inahusisha wachezaji wanaocheza afrika na nje ya mipaka ya afrika wakati nyingine inahusha wachezaji wanaocheza afrika tu

sio nje ya afrika. Mfano mchezaji akicheza nje ya tanzania haruhusiwi. Ni wachezaji wanaocheza ligi za ndani ya tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…