Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake

Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv.

Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie taarifa hizo.

1.jpg
2.jpg
4.jpg
 
Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kama mtumwa kwa maonesho sababu ya makalio makubwa
_119878865_da189a05-9f7c-484e-9291-1e0f7e9cc1a2.jpg


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Nchi yenye maziwa na asali tz mbona wako kimya? Hata kutoa msaada wawatume jkt wasaidie?
 
Back
Top Bottom