Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Anatoroka nchi kupitia porini. Anga limefungwa, hana pa kukimbilia.Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake
Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv
Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie taarifa hizo
View attachment 2131566View attachment 2131567View attachment 2131568