Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Yeye ndo kaua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfamaji asubiri kukamatwa na kuhukumiwa kwa mauaji aliyoyaleta
Wazungu ni mavi sana.Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
[emoji26][emoji26] wazungu ni [emoji706][emoji706] View attachment 2131662
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Yapi! Propaganda za mitaani! Wewe utakuwa CCM tuuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfamaji asubiri kukamatwa na kuhukumiwa kwa mauaji aliyoyaleta
Ni kawaida hata generals wanaopiganisha vita huwa wanaulinzi sembuse CIC?Anapigana huku nawe akiwa analindwa...