Rais wa Ukraine avaa gwanda na kuingia uwanja wa vita

Vita ina propaganda nyingi sana

Wakati wa Vita ya Kagera tulishuhudia
 
Vipi kuhusu watu weusi waliomuuza huyo mtoto? Usiwe biased kijana,angalia pande zote. Waliokuwa mstari wa Mbele kuuza Watumwa NI Machief weusi wenzetu. Sasa aliyenunua ana kosa gani?
[emoji23][emoji23][emoji23],Hao Wazee wetu walikuwa Wajinga,lkn Wazungu ni mavi sana.
 
Safi sana. Anawapa morali wapiganaji wake kupambana mpaka dakika ya mwisho
 
Mbona kama anasindikizwa kutoroka kupitia msituni?
 
PI
picha na maelezo imenipa tafsiri nyingi sana za kuumiza! kifupi ni kama bado tuko kwenye banda
 
Hizi picha ni za mwaka jana alipotembelea kambi ya jeshi
Fatilia mkuu
Af hawa wabaguzi sio wa kuwaonea huruma kabs [emoji34]

Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…