Rais wa Ukraine kumpatia silaha mwananchi yeyote anayetaka kupigana vita dhidi ya Urusi

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi.

Picha kadhaa zilionekana hivi karibuni mitandaoni zikionesha raia wa Ukraine wakipewa mafunzo ya msingi ya kijeshi wakati hali ya taharuki ilipopanda katika mzozo wake dhidi ya Urusi.

Wakati huohuo, Ukraine imekatiza rasmi uhusiano wake wa kidiplomasia na Urusi baada ya nchi hiyo kuvamia ardhi yake.

=======

Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy on Thursday called on all citizens who were ready to defend the country from Russian forces to come forward, saying Kyiv would issue weapons to everyone who wants them.

Russia launched an all-out invasion of Ukraine by land, air and sea on Thursday, the biggest attack by one state against another in Europe since World War Two and confirmation of the worst fears of the West.

Zelenskiy urged Russians to come out and protest against the war.

Source: Reuters
 
Screenshot_20220224-211633_Chrome.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1258][emoji635] US intelligence agencies offer Biden options for a "large-scale cyber attack" against Russia - NBC
 
Hatua ya Ukraine kupitisha sheria ya kuruhusu raia kubeba silaha, ni moja ya mbinu za kujaribu kuitumia 'local support' ya kitaifa dhidi ya Urusi ambaye hana.

Raia wa Ukraine watakapoanza kuingia mtaani na kujitetea dhidi ya Urusi, itapelekea upinzani wa muda mrefu sana utakaohusisha machafuko makubwa.

Pia, kama kutakuwa na jaribio la kuubadilisha utawala uliopo kama moja ya mikakati ya Urusi, upo uwezekano mkubwa wa kuibuka kwa armed struggle yenye nguvu sana kutoka kwa wananchi.

Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa, raia takribani 10,000 wamekwisha pewa silaha hizo huku wengine wakiendelea kujitokeza. General mobilization pia imekwisha tangazwa.
 
Mkuu sikukatalii ila unakumbuka more than 40% ya waukraine ni Russia speaking au ethnick Russians ambao wanakaribisha utawala wa kirusi katika Maeneo Yao.

Tubakie na 60% ambayo ipo west Ukraine baada ya mto dnerp ambao pia wamegawanyika.

Mpaka Sasa Russia anajaribu kuchukua maeneo ambayo ana local support.

Hii vita Ukraine walishindwa kabla haijaanza.
 
Umetumia sensa ya mwaka gani kusema kwamba 40% ya Waukraine ni ethnic Russians?
 
Back
Top Bottom