MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Soma hiyo more than 50% ya ethnic and russia speaking countryUmetumia sensa ya mwaka gani kusema kwamba 40% ya Waukraine ni ethnic Russians?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hiyo more than 50% ya ethnic and russia speaking countryUmetumia sensa ya mwaka gani kusema kwamba 40% ya Waukraine ni ethnic Russians?
Huwezo kushinda Taifa la namna hiyo ambayo more than 50% are pro Russia.Umetumia sensa ya mwaka gani kusema kwamba 40% ya Waukraine ni ethnic Russians?
Kwenye hiyo taarifa, mwandishi anazungumzia "total Russian-native-language population". Yaani, idadi ya raia ambao Kirusi pekee ni lugha yao ya asili. Hajazungumzia raia wote waishio Ukraine.Huwezo kushinda Taifa la namna hiyo ambayo more than 50% are pro Russia.
Asipokubaliana basi utawala utaenda kwa
Wadonetskh
Tupambane na njaa kwetu kwanza mkuuWanitumie nauli nikakiwashe.
Nikifa Basi
Tupambane na njaa kwetu kwanza mkuu
Bado haiondoi ukweli kwamba ukishakuwa na local wanaokusapoti kuwin vita ni rahisiKwenye hiyo taarifa, mwandishi anazungumzia "total Russian-native-language population". Yaani, idadi ya raia ambao Kirusi pekee ni lugha yao ya asili. Hajazungumzia raia wote waishio Ukraine.
Ukiingia ndani ya hiyo taarifa, total Russian-native-language population anaitaja kuwa ni 29.6%. Ndani ya hiyo 29.6%, ndipo unawapata hao ethnic Russians ambao ni 56%. Nafikiri nimeeleweka!