Rais wa Ukraine kumpatia silaha mwananchi yeyote anayetaka kupigana vita dhidi ya Urusi

Huwezo kushinda Taifa la namna hiyo ambayo more than 50% are pro Russia.
Asipokubaliana basi utawala utaenda kwa
Wadonetskh
Kwenye hiyo taarifa, mwandishi anazungumzia "total Russian-native-language population". Yaani, idadi ya raia ambao Kirusi pekee ni lugha yao ya asili. Hajazungumzia raia wote waishio Ukraine.

Ukiingia ndani ya hiyo taarifa, total Russian-native-language population anaitaja kuwa ni 29.6%. Ndani ya hiyo 29.6%, ndipo unawapata hao ethnic Russians ambao ni 56%. Nafikiri nimeeleweka!
 
Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
 
[emoji599] Ukraine’s Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
 
Ukrainian official says Friday will be "the worst day" of Russian attack, expects airstrikes, landings, penetrations, and encircling - BNO
 
Bado haiondoi ukweli kwamba ukishakuwa na local wanaokusapoti kuwin vita ni rahisi
Kifupi eastern Ukraine watahodhi kirahisi Warusi muda utasema
 
Ujerumani kuna kitu anakiogopa hatujui ni nini [emoji23][emoji23]

The German Chancellor said that cutting off #Russia from the #SWIFT global interbank payment system should not be part of the second #EU sanctions package against Russia.

#Ukraine
#NATO https://t.co/Z45YfPi9Ju
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…